Vasco Dagama anaupiga mwingi sana.Mara paaaaaah mshikaji wake mzee wa Schedule Maintenance, Kigogo kapewa ubalozi..........
 
Utopolo uleule, bila katiba mpya tutaendelea kuburuzwa na hawa wahuni mpaka mwisho wa dunia.
 
Aseh sidhani, sioni CCM ikitawala muda mrefu wala sioni Chadema ikitawala nchi hii lakini naona kila dalili za maandamano na mapinduzi kama Viongozi wakiendelea kuwa reckless hivi.
 
Magufuli ameshapanda mbegu ya kuingia madarakani bila kuheshimu box la kura. Mlikuwa mnafurahia ule uhuni, sasa ngoja watu wapeane vyeo kwa kujuana maana hawategemei box la kura.
Samia hawezi kurudia ubabe wa Magufuli hana jeuri wala ukichaa wa level ile. CCM itaanza kupoteza viti kama enzi za JK tu.
 
Ukweli au udini?
Inategemea na mtazamo wa ntu na ntu... kwangu kaongea ukweli... unafikiri kwa nini tanganyika inakomaa na kuoshikitia zenji ilhali hamna daida kubwa inayonufaika nayo kiuchumi?
 
Waitara ni mbunge kumbuka sijui kama unaelewa
Juzi juzi hapa eti kalienda Arusha kwa kuunguza kodi za wananchi kukagua nauli stendi akidhan katamfurahisha mama. Kamepigwa chini Sasa. Hakuna tena drama za kisoro.

Bwahaha hahaha hahaha.

Kammmmonnn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…