joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Vasco Dagama anaupiga mwingi sana.Mara paaaaaah mshikaji wake mzee wa Schedule Maintenance, Kigogo kapewa ubalozi..........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utapumzika wewe,Tena kaburini kabisaHuyu mama jamani 2025 apumzishwe hatuna rais.Hamna kitu kabisa mazaga tu
Aseh sidhani, sioni CCM ikitawala muda mrefu wala sioni Chadema ikitawala nchi hii lakini naona kila dalili za maandamano na mapinduzi kama Viongozi wakiendelea kuwa reckless hivi.Sisiemu itaendelea kushinda viti vya ubunge na urais bila hata kuiba kura, kitakachotokea ni wananchi wachache watajitokeza kupiga kura... bado hamna chama mbadala hapa tanzania... chadema muache kudanganyanya, faraja yenu itaendelea kuwa kuona sisiemu wanapasuana ila mwisho wa siku wataendelea kutawala hii nchi kwa muda mrefu sana...
Inawezekana alieleweka vibaya.Inaonyesha hii ndo imemtoa Lukuvi, ila alikuwa waziri makini sana
Bwahaha hahaha aiiii. Inaumaa eehWaitara ni mbunge kumbuka sijui kama unaelewa
Samia hawezi kurudia ubabe wa Magufuli hana jeuri wala ukichaa wa level ile. CCM itaanza kupoteza viti kama enzi za JK tu.Magufuli ameshapanda mbegu ya kuingia madarakani bila kuheshimu box la kura. Mlikuwa mnafurahia ule uhuni, sasa ngoja watu wapeane vyeo kwa kujuana maana hawategemei box la kura.
NDIOKwamba katiba mpya ndio ingewapa uwaziri wa kudumu?
Nonsenseutapumzika wewe,Tena kaburini kabisa
NDIOKwa hiyo wakiteukiwa waislamu tupu ndio umasikini wako unaisha?
[emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana alieleweka vibaya.
Lukuvi amefit Ardhi kuliko mawaziri wengi waliowahi ongoza wizara hii.
Migogoro inarudi upyaUnatoa mtu wa maana Kama Lukuvi kwenye ardhi alishakomesha migogoro ya kipumbavu. Mnaweka wenye upumbavu ambao wazazi wao walishindwa hata kuzuia mauwaji ya wakulima na wafugaji.
Bila kusahau ww na familia yako yoteutapumzika wewe,Tena kaburini kabisa
Inategemea na mtazamo wa ntu na ntu... kwangu kaongea ukweli... unafikiri kwa nini tanganyika inakomaa na kuoshikitia zenji ilhali hamna daida kubwa inayonufaika nayo kiuchumi?Ukweli au udini?
Dua la kuku.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mama jamani 2025 apumzishwe hatuna rais.Hamna kitu kabisa mazaga tu
Juzi juzi hapa eti kalienda Arusha kwa kuunguza kodi za wananchi kukagua nauli stendi akidhan katamfurahisha mama. Kamepigwa chini Sasa. Hakuna tena drama za kisoro.Waitara ni mbunge kumbuka sijui kama unaelewa
inawezekana piaSpika ni Nchimbi mtaniambia!
OK BASI BUSINESS AS USUAL!!!!!!!!!!! POLE SANA TANZANIA YETU.Huu ndiyo upumbavu tusioutaka. Yani mtu umpe wizara na mshahara alafu uunde kikosi kazi Cha kufatilia?. Pole Tanzania yetu.