Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

Rais Samia atatimiza na kusherehekea Umri wa miaka 64 Jumamosi ya wiki hii, huku Taifa likiwa na imani kubwa kwake

Ingependeza zaidi ikiwa atatupa zawadi ya birthday yake kwa kuachia kiti cha uraisi.

Samia tumemchoka.
 
Acha kuleta uchizi wako hapa
Jikite kwenye hoja na sio dhihaka na matusi.

Tukiongelea uchizi sidhani kuna anaekuzidi wewe kwa kuwa mwehu maana huwa unasifia mpaka ushuzi wa wana CCM. Huoni tabu kuanzisha uzi wenye kichwa cha habari 'Mama atoa watanzania machozi ya furaha kwa kutoa ushuzi unaonukia udi'.

Kaa na heshima yako chief na ukubali kuwa mitazamo inatofautiana. Sio kila unachokipenda wewe wengine wote wanakipenda.
 
Kila siku namwambia ache kuandika nadharia na vitu vya kufikirika ambavyo mtu yeyote anaweza kuandika akiwa chumbani! Aje na constructive issues itamsaidia hata kama ni teuzi anatafuta! Nimemshauri amtafute "tumbili" Davies Kafulila amfundishe uandishi wenye mantiki na unaojenga hoja fikirishi na shawishi yenye kujenga qmbapo hata msomaji aweza kushawishika na kuvutika au Pascal Mayalla amsaidie pia lakini ameendelea kushupaza shingo na kuakza makalio na kuandika insha tu ambazo hata bint yangu ukimpa title tu anaweza kuandika.

Hivi kweli kijana wa kiume rijali unayatarajia kuwa baba unakaa unawaza birthday ya mama na kuihusianisha na national issues? Yaani siku ya kuzaliwa Rais wa nchi au kutimiza miaka fulani ina uhusiano upi na mustakabali wa taifa? Ukimuuliza kama kuna any significant correlation between president's age /birthday na mambo kuntu ya Taifa (National sensitive issues) atajibu ni amani. Like serious?
Juzi nilimwambia yeye ni feminist akawa mkali- sasa kila siku tunawaona wadada hapa mjini na ma^box meupe ya birthday cakes what's the difference?

Nadhani angemkumbusha Rais mambo muhimu ambayo yanaathiri maisha ya watanzania kwa sasa na namna ya kuya-adress yeye anawaza besdei !!! A wasted sperm
Huyu ni wale wanapewa script ya kusifia anaibeba bila kuuliza.

Kule X walipewa script ya kukosoa maandamano ya CHADEMA yalivyo mazuzu aliyeandika akakakosea neno kushinikiza akaandika "kushiniliza" yote yakalibeba jinsi lilivyo.

Vijana wamekubali kuwa malaya wa akili , wanauza akili zako kwa elfu ishirini.
 
Bibi amechoka ni muda sasa akalee vitukuu. Kazi imemshinda.
 
Bibi amechoka ni muda sasa akalee vitukuu. Kazi imemshinda.
Wewe ndiye umechoka kiakili na kimwili. Rais wetu mpendwa bado ni imara kiakili na kimwili na mwenye nguvu na afya njema ya kuendelea kututumikia watanzania. Bado yupo imara kifikira na kimawazo na mwenye maono makubwa. Ni kiongozi ambaye anatizama miaka mia mbele katika ustawi wa Taifa letu.
 
Huyu ni wale wanapewa script ya kusifia anaibeba bila kuuliza.

Kule X walipewa script ya kukosoa maandamano ya CHADEMA yalivyo mazuzu aliyeandika akakakosea neno kushinikiza akaandika "kushiniliza" yote yakalibeba jinsi lilivyo.

Vijana wamekubali kuwa malaya wa akili , wanauza akili zako kwa elfu ishirini.
Siyo kila mtu anamezeshwa ya kuja kuandika hapo kama ilivyo kwako wewe.ambaye muda wote ni kutukana tu hapa utafikiri mgonjwa wa akili.
 
Siyo kila mtu anamezeshwa ya kuja kuandika hapo kama ilivyo kwako wewe.ambaye muda wote ni kutukana tu hapa utafikiri mgonjwa wa akili.
Wewe zuzu kweli mimi unafikiri kila muda niko hapo kutoa script ulizomezeshwa kama wewe?

See your life.
 
Wewe ndiye umechoka kiakili na kimwili. Rais wetu mpendwa bado ni imara kiakili na kimwili na mwenye nguvu na afya njema ya kuendelea kututumikia watanzania. Bado yupo imara kifikira na kimawazo na mwenye maono makubwa. Ni kiongozi ambaye anatizama miaka mia mbele katika ustawi wa Taifa letu.
🖕🖕🖕
 
Back
Top Bottom