Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuleta uchizi wako hapaIngependeza zaidi ikiwa atatupa zawadi ya birthday yake kwa kuachia kiti cha uraisi.
Samia tumemchoka.
Jikite kwenye hoja na sio dhihaka na matusi.Acha kuleta uchizi wako hapa
Huyu ni wale wanapewa script ya kusifia anaibeba bila kuuliza.Kila siku namwambia ache kuandika nadharia na vitu vya kufikirika ambavyo mtu yeyote anaweza kuandika akiwa chumbani! Aje na constructive issues itamsaidia hata kama ni teuzi anatafuta! Nimemshauri amtafute "tumbili" Davies Kafulila amfundishe uandishi wenye mantiki na unaojenga hoja fikirishi na shawishi yenye kujenga qmbapo hata msomaji aweza kushawishika na kuvutika au Pascal Mayalla amsaidie pia lakini ameendelea kushupaza shingo na kuakza makalio na kuandika insha tu ambazo hata bint yangu ukimpa title tu anaweza kuandika.
Hivi kweli kijana wa kiume rijali unayatarajia kuwa baba unakaa unawaza birthday ya mama na kuihusianisha na national issues? Yaani siku ya kuzaliwa Rais wa nchi au kutimiza miaka fulani ina uhusiano upi na mustakabali wa taifa? Ukimuuliza kama kuna any significant correlation between president's age /birthday na mambo kuntu ya Taifa (National sensitive issues) atajibu ni amani. Like serious?
Juzi nilimwambia yeye ni feminist akawa mkali- sasa kila siku tunawaona wadada hapa mjini na ma^box meupe ya birthday cakes what's the difference?
Nadhani angemkumbusha Rais mambo muhimu ambayo yanaathiri maisha ya watanzania kwa sasa na namna ya kuya-adress yeye anawaza besdei !!! A wasted sperm
Wewe mbona ujapata hilo zari.Urais zari tu
Wewe ndiye umechoka kiakili na kimwili. Rais wetu mpendwa bado ni imara kiakili na kimwili na mwenye nguvu na afya njema ya kuendelea kututumikia watanzania. Bado yupo imara kifikira na kimawazo na mwenye maono makubwa. Ni kiongozi ambaye anatizama miaka mia mbele katika ustawi wa Taifa letu.Bibi amechoka ni muda sasa akalee vitukuu. Kazi imemshinda.
Siyo kila mtu anamezeshwa ya kuja kuandika hapo kama ilivyo kwako wewe.ambaye muda wote ni kutukana tu hapa utafikiri mgonjwa wa akili.Huyu ni wale wanapewa script ya kusifia anaibeba bila kuuliza.
Kule X walipewa script ya kukosoa maandamano ya CHADEMA yalivyo mazuzu aliyeandika akakakosea neno kushinikiza akaandika "kushiniliza" yote yakalibeba jinsi lilivyo.
Vijana wamekubali kuwa malaya wa akili , wanauza akili zako kwa elfu ishirini.
Wewe zuzu kweli mimi unafikiri kila muda niko hapo kutoa script ulizomezeshwa kama wewe?Siyo kila mtu anamezeshwa ya kuja kuandika hapo kama ilivyo kwako wewe.ambaye muda wote ni kutukana tu hapa utafikiri mgonjwa wa akili.
🖕🖕🖕Wewe ndiye umechoka kiakili na kimwili. Rais wetu mpendwa bado ni imara kiakili na kimwili na mwenye nguvu na afya njema ya kuendelea kututumikia watanzania. Bado yupo imara kifikira na kimawazo na mwenye maono makubwa. Ni kiongozi ambaye anatizama miaka mia mbele katika ustawi wa Taifa letu.