Rais Samia atengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Dkt. Raphael Chegeni

Nadhani kuna tatizo katika jambo lenyewe la uteuzi.

Hii siyo kawaida hata kidogo.
nawashangaa wanao shangaa Rais kufanya mabadiliko...hilo ni jambo la kawaida kabisaaa na siajabu hata kesho trh 1 Siku ya kuapishwa wapo watakao tenguliwa.

hakuna jambo la ajabu hapa......
Marekani iliwahi kumteua waziri wa mambo ya nje lkn kabla hajaapishwa akatenguliwa,
mifano ipo kibao ktk mataifa mbalimbali duniani.
 
TOKA MAKTABA :

22 January 2022

HAFLA YA CHAKULA, WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA

Source : Javius Byarushengo
 
Mkuu mbona barua inasema ametengua?
 
Ni Mkuu wa Magereza amekuwa RC
Demotion kali eh? Ama

Huyo mwingine maskini na suti yake ya kesho itakua alikuwa nayo tayari
Mama kamkosea adabu sana Huyu Chegeni pamoja na usukuma wake mi nasema hapana, na aache kuendewa na muha wa burundi ktk kufanya maamuzi yanayowahusu watanzania hasa wabara.
kwa mwendo huu wallah tusijaribu tena kuteua wazanzibar kuongoza tanzania.

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Chegeni mkorofi sana alikuwa anahangaika kufanya kampeni za kuwa mbunge wenye pesa na marupurupu makubwa kuliko ukuu wa mkoa

Kakataa ukuu wa mkoa kaona kama Mama Samia hataki awe mbunge aweke mtu wake kugombea kumbe asichojua ni kuwa Mama Samia ndie bosi wa kamati kuchuja majina ! Ya nani agombee !!

Haya Chegeni endelea na kampeni zako 2025 utamjua Mama Samia kuwa ni Mwenyekiti wa CCM mwrnye nguvu au la

Kamuulize Lowasa alikuwa na dharau sana kwa Kikwete akiwa Mwenyekiti wa CCM muulize kilichomkuta

Jiandae kisaikolojia Chegeni
 
Jamani huyu mzee kapata kazi ya mkataba wa miaka 5 nchi moja wapo bara la Asia toka shirika la UN anaenda kusimamia maswala ya fedha japo siyo ndo atakuwa mkuu,

Mbunge wa Magu jimbo la Busega ?

Soma zaidi wasifu wa Dkt. Chegeni: bofya hapa chini :
 
K
Kwani Hapi alikuwa Mkuu wa Mkoa gani?
 
Nadhani kuna tatizo katika jambo lenyewe la uteuzi.

Hii siyo kawaida hata kidogo.
Chegeni ana dharau mno hujiona yeye ndio yeye hataki ukuu wa mkoa anataka ubunge kamuulize Lowasa kilichomkuta baada ya kumdharau Kikwete Mwenyekiti CCM taifa akigombea uraisi aweza pita kura maini kugombea Uraisi CCM kuwa ana support kubwa!
 
Unaangalia mafungu kwako ndio kipimo cha demotion,sasahivi huyo anapigiwa saluti na wakuu wote wa majeshi ya ulinzi na usalama,ni raisi katika mkoa wa mara.

Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
acha ufyatu eti anapigiwa salute na wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama.
shule yako darasa la ngapi kwanza nisije nikakutendea dhambi kumbe std seven nikamkosea Mungu

Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
 
Hata kama tuna mamlaka lakini ile heshima ya kawaida ya kibinadamu iwepo. Tuwaheshimu wananchi na wasaidizi wetu.
 
Sasa ubunge anautaka wa nini?

Mbona hadi alirusha mangumi aliposhindwa ? Pesa anazo ubunge anautakia nini mpuuzi huyo si abaki na biashara zake?
 
Mkuu kwani neno tengua lina maana gani tuwekane sawa
Kutengua ni kumwondoa mteule na kwa mazoea ya TZ lazima awe amefanya mambo siyo mazuri kwenye utendaji wake wa kazi. Sasa huyu hata kuapa alikuwa bado hivyo neno kutengua limetumika sivyo hapo. Mwandishi angesema tu Rais amefanya mabadiriko kwenye wakuu wa mikoa alioteuwa juzi lakini si kutengua kwa sababu huyo mteuliwa bado hajaapa hivyo hajakubali uteuzi rasmi kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…