nawashangaa wanao shangaa Rais kufanya mabadiliko...hilo ni jambo la kawaida kabisaaa na siajabu hata kesho trh 1 Siku ya kuapishwa wapo watakao tenguliwa.Nadhani kuna tatizo katika jambo lenyewe la uteuzi.
Hii siyo kawaida hata kidogo.
hakuna jambo la ajabu hapa......
Marekani iliwahi kumteua waziri wa mambo ya nje lkn kabla hajaapishwa akatenguliwa,
mifano ipo kibao ktk mataifa mbalimbali duniani.