Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Aisee! Nchi ina vyeo vingi sana vya hovyo hovyo. Namna hii kodi zitaacha kuishia kwenye kuwalipa mishahara na kujaza mafuta ma_V8 yao!? Safari ni ndefu sana.
 
Jamaniee mkeka uwapi. Mbona naona mkeka mfupi na Kuna mabadiliko ya wengi madc?
 
Nchi hii inaboa ile mbaya!!!!! Ni njaa tu!!! Hata Lissu ni njaa tu ilikuwa inamsumbua na sasa amelambishwa ametulia. Hivi akina Retired , akina brazaj etc wanajisikiaje!
Kama kuna stahiki zake alikuwa anadai ni kosa yeye kuzidai. Au wewe ungeshambuliwa namna ile, bado ungebaki Tz chini ya yule dhalimu!?
 
Mkuwa wa wilaya ludewa alikuwa anadharau sana yule,inasemekana ametolewa yeye na mkurugenzi pale.Tetesi wamepiga hela .
 
Asante Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…