Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Rais Samia ateua Wakuu wa Wilaya wapya 37, awahamisha 48, waliobaki kwenye vituo vyao ni 55

Leo tumepokea kwa furaha uteuzi mpya wa wakuu wa Wilaya lakini pia tukisitikitishwa wengine akina Jerry Muro kuachwa.Natamani kufahamu walioachwa wameharibu wapi just kujifunza
 
Watafute pesa njee ya mishahara? Hizi dhana ndio zinazaa rushwa, ukiukwaji wa Sheria n.k. kuhisi kuwa Kila unapopata nafasi ya uteuzi ni Ulaji
Mbona nimeeleza Mkuu kwenye paragraph ya tatu nilipotoa maoni yangu?

Nimeandika na naomba kunukuu;

Kwa nafasi zao ni rahisi kuingia Benki na kukopa up to 150M, ambayo Kwa sisi wajasiriamali ukiingiza kwenye uwekezaji ni rahisi Kuvuna up to 5M Net Profit kwa Mwezi 💪.
 
Hao wapya namba nane hapo Grace Kingalame si mwandishi wa habari huyo? Au wanafanania majina.
Juma Issa Chikoka kabaki, ni yule mchekeshaji wa zamani na huwa naamini anafanya kazi vizuri.

Wake wa vigogo naona wanabaki na hawapelekwi mbalimbali uko Tandahimba.
Na yule Nick wa Weusi jina lake nani sijui, vipi tena
Nick kawekwa kibaha
 
Back
Top Bottom