Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tena katumia fullname
 
A caged lion is useless,

That's not a good sign or name.
 
Huyo simba anahangaika haingaika bila msingi wowote sidhani kama kuna wema inaweza kuwa kijembe mmemwona huyo simba hatulii kama paka wa mtaani.

Anyway Chadema mbele kwa mbele
 
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!
Mbona chui hajabatizwa
Unyanyapaa
 
Ni Tundu Lisu huyu huyu anayetaka kuweka Shada kwenye kaburi la JPM au Mwingine. atakwenda kuweka
 
Tundu Lissu ni simba dume.
Ila hayo mabanda hayana ubora
 
Je, yeye mwenyewe Tundu Lissu ameridhia Jina lake kupewa huyo mnyama Simba?
Kama hajaridhia kabla, Je, hiyo haiwezi kuwa Defamation Case au suala linalowahusiana na mambo ya copyright dispute???
Jina halina copyright ndio maana Lisu humsema mama Abdul lakini hakuna mahali Mama Abdul yeyote aliyewahi jitokeza kusema ananisema mimi

Tundu Lusu laweza kuwa jina la yeyote binadamu ,ngedere,Simba,fisi au yeyote

Jina lake Lisu sio trade mark wala halijasilijiwa kwenye copy right

Mtu hata ukimwita mbwa wako Tundu Lisu hamna shida
 
Ana maana nzuri Tu Simba ni ishara kubwa chanya Afrika yeye anajua contribution ya Tundu Lissu nchi hii,IPO siku hii nchi itakuja kumkumbuka huyu mama na hakuna Raisi amewahi sifika nchi hii hua anaonekana baadae SASA yeye atakuja kukumbukwa zaidi
Ni kweli atakumbukwa sana Kwa kuifilisi nchi.
 

imhotep hii si kwa ubaya. Kwa hakika si bure! 🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…