Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ulizia ulizia huko vipi, mwamba hakuambulia jina hata la mnyama mmoja huko?
Labda ataitwa Nyegere au kwa Kiingereza Honey Badger yaani Nyegere mpenda Asali😁
 
Walishapanga na kukubaliana
Kama hawakukubaliana basi Jumatatu utasikia moto umewaka mahakamani
Rais hashtakiwi. Hiyo katiba mpya mtaipataje wakati hii ya sasa hamjui kilichoandikwa.
 
Ni ukatili mkubwa kuwafungia simba na chui katika vyumba vidogo hivyo. Huyo simba hayuko sawa. Hawezi kuwa sawa akiwa kafungiwa kwenye kaboksi na watu kibao wana mkodolea macho. Sio vizuri kabisa.

Amandla...
 
Kumwita hilo jina ni kwasababu Lissu ana uwezo mkubwa ila kafungiwa kwenye kibanda na Mbowe kama huyo Simba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…