Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni baada ya kuliza huyu simba mbona yupo hivi, ana tatizo gani... Na kuambiwa akiona watu ndiyo huaga hivyo...

Kamfananisha na Tundu Lissu...
Hahaha...

Cc: Mahondaw
 
Jina la Tundu Lissu litakuwa na kumbukumbu huko Kizimkazi kutokana na umaarufu wake Nchini Tanzania. Naona 4Rs zinafanya kazi.
 
Ni baada ya kuliza huyu simba mbona yupo hivi, ana tatizo gani... Na kuambiwa akiona watu ndiyo huaga hivyo...

Kamfananisha na Tundu Lissu...
Hahaha...

Cc: Mahondaw
Simba ni Simba na hapo yupo aggressive anataka kula windo.... usifanye mchezo mkuu wa nchi kukufananisha na Simba!! Kiroho huyo bibi kajiharibia sana!
 
Chukua maneno yangu, ni suala la muda tu, LISSU atahama CHADEMA, kwa aibu atashindwa kuhamia CCM, ila ataenda ACT na kwa mara ya kwanza ACT itapata zaidi ya vitano vya ubunge JMT kwenye uchaguzi ujao 2025
 
Hizo ndizo kejeli na laghai za rejareja ambazo zimekuwa njia zake kuu za udanganyifu.
Hata afanye nini, kwa Tundu Lissu atagonga ukuta tu!
 
Kuhusu kuhama au kubaki hilo sio shida wala hoja yangu... hoja ni Samia ambaye ni Chui jike leo katuambia Lissu ni Simba dume.
 
Hizo ndizo kejeli na laghai za rejareja ambazo zimekuwa njia zake kuu za udanganyifu.
Hata afanye nini, kwa Tundu Lissu atagonga ukuta tu!
Kumwita mtu Simba si kejeli... amekiri udhaifu wake.
 
Mkuu, naona hujatambua janja ya huyu mama. Huyu anao utamaduni wa kule kwa wajomba zake. Anakuua huku akitabasamu.
Huyo mama kwa akili yake hana ujanja wowote yupo kwenye panic mode.... njia zao za kumnasa Lissu zimekwama. Ukiangalia hyo Video kwa uharaka aliotumia kutamka hilo jina amini nakuambia kwenye akili yake huyo Lissu kajaa kwa 90%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…