Sasa ndugu yangu kwa umri huo hujui CCM, Chadema na vyama vya upinzani ni sawa na mtu na wajukuu zake?Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu...
Tunasubiria uchaguzi upiteUnatanua magoli sio....kule Ngorongoro kashatupa kitaulo!
Kawaeleze ujinga huo CCM, halafu uwaambie waachie madaraka, kama unataka kuhakiki nadharia hiyo mbovu unayo ieleza hapa.Sasa ndugu yangu kwa umri huo hujui CCM, Chadema na vyama vya upinzani ni sawa na mtu na wajukuu zake? Siasa zetu za Tanzania ni za upendo siyo za uadui! Ndiyo maana unaweza mwona Mbowe kakaza misuli leo na kesho anacheka Ikulu au yuko na KM Nchimbi. Huu ndio upekee wa Tanzania. Mhe. Rais kaonyesha upekee huo tuupokee positively. 🙏🙏🙏
Wana siasa huwa wanajuanaSimba wa TANGANYIKA,ama kweli Dr Samia ametuonesha hanabaya na TLisu
CCM iimeingiaje hapa? Mimi ni Mtanzania mwenye mawazo chanya tu. Sioni uadui kati ya Chadema na CCM. Au na vyama vingine. Napenda umoja na upendo wa kitaifa. Tujadili masuala ya nchi tukiwa Watanzania tunaotaka nchi ikimbie. Kama hilo ni kosa langu nisamehe.🙏🙏🙏Kawaeleze ujinga huo CCM, halafu uwaambie waachie madaraka, kama unataka kuhakiki nadharia hiyo mbovu unayo ieleza hapa.
Kuitwa Simba ni ishara njema katika ulimwengu wa roho....mbingu na ardhi zimesikia.Lissu fungua kesi. Matumizi mabaya ya jina la mtu. Humiliation defamation.
Tusijifariji na hili. Mnatolewa kwenye reli.
Kule kupigwa na kuwekwa kizuizini kule Mbeya mnangoja nini kufungua kesi. Mtaishia kuongea na vyombo vya habari kila siku then what?
I am sorry, this is shallow thinking or analysis of issues!Ana maana nzuri Tu Simba ni ishara kubwa chanya Afrika yeye anajua contribution ya Tundu Lissu nchi hii,IPO siku hii nchi itakuja kumkumbuka huyu mama na hakuna Raisi amewahi sifika nchi hii hua anaonekana baadae SASA yeye atakuja kukumbukwa zaidi
Lini na wapi aalimtukana?Lisu apunguze matusi kwa huyo ajuza sasa
Hii ni propaganda tuuAkiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!
Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba.
Simba ni ishara na alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho hili tutajadili mbeleni.
Tumesema mara nyingi humu jukwaani huyu mama kachanganyikiwa sana na CHADEMA na anawawaza saa zote. Tundu Lissu anampa sleepless night huyu.
Jionee.
Simba ni Simba. Unajua maana ya Simba wa Juda? Samia akilala usiku anamwota Lissu! Lissu ni Simba. Ni mfalme wa nyika.Simba hatulii ndio maana akaitwa TAL 😃