Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Pre GE2025 Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu...
Sasa ndugu yangu kwa umri huo hujui CCM, Chadema na vyama vya upinzani ni sawa na mtu na wajukuu zake?

Siasa zetu za Tanzania ni za upendo siyo za uadui! Ndiyo maana unaweza mwona Mbowe kakaza misuli leo na kesho anacheka Ikulu au yuko na KM Nchimbi.

Huu ndio upekee wa Tanzania. Mhe. Rais kaonyesha upekee huo tuupokee positively. 🙏🙏🙏
 
Sasa ndugu yangu kwa umri huo hujui CCM, Chadema na vyama vya upinzani ni sawa na mtu na wajukuu zake? Siasa zetu za Tanzania ni za upendo siyo za uadui! Ndiyo maana unaweza mwona Mbowe kakaza misuli leo na kesho anacheka Ikulu au yuko na KM Nchimbi. Huu ndio upekee wa Tanzania. Mhe. Rais kaonyesha upekee huo tuupokee positively. 🙏🙏🙏
Kawaeleze ujinga huo CCM, halafu uwaambie waachie madaraka, kama unataka kuhakiki nadharia hiyo mbovu unayo ieleza hapa.
 
Kawaeleze ujinga huo CCM, halafu uwaambie waachie madaraka, kama unataka kuhakiki nadharia hiyo mbovu unayo ieleza hapa.
CCM iimeingiaje hapa? Mimi ni Mtanzania mwenye mawazo chanya tu. Sioni uadui kati ya Chadema na CCM. Au na vyama vingine. Napenda umoja na upendo wa kitaifa. Tujadili masuala ya nchi tukiwa Watanzania tunaotaka nchi ikimbie. Kama hilo ni kosa langu nisamehe.🙏🙏🙏
 
Lissu fungua kesi. Matumizi mabaya ya jina la mtu. Humiliation defamation.

Tusijifariji na hili. Mnatolewa kwenye reli.

Kule kupigwa na kuwekwa kizuizini kule Mbeya mnangoja nini kufungua kesi. Mtaishia kuongea na vyombo vya habari kila siku then what?
 
Lissu fungua kesi. Matumizi mabaya ya jina la mtu. Humiliation defamation.

Tusijifariji na hili. Mnatolewa kwenye reli.

Kule kupigwa na kuwekwa kizuizini kule Mbeya mnangoja nini kufungua kesi. Mtaishia kuongea na vyombo vya habari kila siku then what?
Kuitwa Simba ni ishara njema katika ulimwengu wa roho....mbingu na ardhi zimesikia.
 
Kesha bi kizmkazi kesha hana uwezo hata wa kumface simba dume! hata sekunde moja! anaukumbuka mziki aliouona 2020 hadi mwenzake akaamua kufa!
Hii kiroho itamgharimu sana.
 
Ana maana nzuri Tu Simba ni ishara kubwa chanya Afrika yeye anajua contribution ya Tundu Lissu nchi hii,IPO siku hii nchi itakuja kumkumbuka huyu mama na hakuna Raisi amewahi sifika nchi hii hua anaonekana baadae SASA yeye atakuja kukumbukwa zaidi
I am sorry, this is shallow thinking or analysis of issues!
 
Nini maoni yako kwa simba mtukutu kupewa jina la Makamu Mwenyekiti wa Chadema na Rais Samia.
 
Kwamba hao simba ni wake kuchagua tu na kuamua ? Ofcourse hili ni jambo dogo na petty ila tabia kama hizi ndio zinapelekea kusema uzeni hapa au pale au hiki au kile (chochote ambacho fikra zake zinamtuma)
 
Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu!!

Simba ni mtawala na ni mfalme, ana nguvu na akili sana. Samia alijiita chui Jike leo kamwita Lissu Simba.

Simba ni ishara na alama kubwa sana katika ulimwengu wa roho hili tutajadili mbeleni.

Tumesema mara nyingi humu jukwaani huyu mama kachanganyikiwa sana na CHADEMA na anawawaza saa zote. Tundu Lissu anampa sleepless night huyu.

Jionee.

Hii ni propaganda tuu

Akumbuke mtoto wake ametuhumiwa kutoa rushwaa

Angejibu hili ingekuwa njema kwanza
 
Mama Samia ana nia ya kuendeleza 4Rs, pia anapenda utani. Naamini yanayoendelea kwenye utekaji na kwingine kukiuka sheria yanafanywa na watu wanaotaka kumchafua ili achukiwe na Watanzania.
 
Back
Top Bottom