Sasa ndugu yangu kwa umri huo hujui CCM, Chadema na vyama vya upinzani ni sawa na mtu na wajukuu zake?Akiwa huko kizimkazi leo akipita katika mabanda ya wanyama alipofika banda la Simba haraka akauliza huyu Simba mmempa jina gani wakasema hana jina akasema mpeni Tundu Lissu...
Siasa zetu za Tanzania ni za upendo siyo za uadui! Ndiyo maana unaweza mwona Mbowe kakaza misuli leo na kesho anacheka Ikulu au yuko na KM Nchimbi.
Huu ndio upekee wa Tanzania. Mhe. Rais kaonyesha upekee huo tuupokee positively. 🙏🙏🙏