Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

Katoa kwenye Hazina au mshahara wake.
Kama ni hazina Basi ni Kodi zetu na ni swala kisiasa zaidi
120909684_117545516779837_7410527070517376392_n.jpg
 
Haya ni matumizi yasiyofaa ya fedha za umma. Mara zote tunaambiwa tusichanganye mambo ya serikali na dini. Sasa hii ni nini? Mbona Mali za nchi zinatumika kuendeleza hizi mainstream religious groups, wenye dini za kijadi mbona hakuna mali za serikali zinazopelekwa huko? Au sababu dini za kimila hawalalamiki?
Kudai katiba mpya ilitakiwa iwe jana
Matumizi mazuri unayo wewe Mkuu.
 
1.Hizo 100,000,000/= zitatoka katika mfuko gani, mfukoni mwake au mfuko wa Serikali?

2. Huo ni uchaguzi wa mwaka 2024/2025.

3. Anajaribu kupunguza up upinzani mkali dhidi ya DP World.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.

Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa Maalum ya kumwombea Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere.

Hii ina ashiria Amani na Nuru ya maelewano baina ya Serikali Ya Dr. Samia na Kanisa Katoliki, na hii ni baada ya miezi iliyopita Baraza la Maaskofu la Kanisa hilo Kutoa Waraka uliokuwa unapinga mkataba wa Serikali.

Binafsi nasema kila la Kheri, Mungu alisimamie Taifa letu la Tanzania.
Uzuri kanisa katoliki halinunuliki ata uwe nani. Hoja ya bandari ipo palepale. Ni mkataba wa hovyo kama wa enzi za utumwa haufai.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.

Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa Maalum ya kumwombea Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere.

Hii ina ashiria Amani na Nuru ya maelewano baina ya Serikali Ya Dr. Samia na Kanisa Katoliki, na hii ni baada ya miezi iliyopita Baraza la Maaskofu la Kanisa hilo Kutoa Waraka uliokuwa unapinga mkataba wa Serikali.

Binafsi nasema kila la Kheri, Mungu alisimamie Taifa letu la Tanzania.
Hela ya walipa kodi? Waumini wenyewe wajichangie. Serikali isijihusishe na mambo ya dini.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.

Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa Maalum ya kumwombea Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere.

Hii ina ashiria Amani na Nuru ya maelewano baina ya Serikali Ya Dr. Samia na Kanisa Katoliki, na hii ni baada ya miezi iliyopita Baraza la Maaskofu la Kanisa hilo Kutoa Waraka uliokuwa unapinga mkataba wa Serikali.

Binafsi nasema kila la Kheri, Mungu alisimamie Taifa letu la Tanzania.
Anazitoa mfukoni au hazina?
 
Hapa haja hajachanganya dini na siasa kabisa. Hapa ni Siasa na dini tu, baasi.
 
Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo.

Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa Maalum ya kumwombea Baba wa Taifa, Hayati Mwl. Julius Nyerere.

Hii ina ashiria Amani na Nuru ya maelewano baina ya Serikali Ya Dr. Samia na Kanisa Katoliki, na hii ni baada ya miezi iliyopita Baraza la Maaskofu la Kanisa hilo Kutoa Waraka uliokuwa unapinga mkataba wa Serikali.

Binafsi nasema kila la Kheri, Mungu alisimamie Taifa letu la Tanzania.
Waraka upo pale pale kwani dawa ishaingia! Mchango ni jambo la kawaida na hasa mwenye nchi kutoa sio kwamba katoa mfukoni mwake au mshahara wake Bali Kuna nyanja nyingi za kuchangia. Unajua huzi safari nyingi na fungus lake pia ni kodi za wananchi.
Amerejesha kwenye zile anapiga!
Ngozi nyeusi achana nayo!!
 
Tanania ni nchi inayoongozwa na serikali isiyo na dini. Ikiwa kila mwenye taasisi yake ya dini atataka apewe fedha hii na rais, rais ataweza kutoa hela sawa kwa wote?

Kwa nini serikali inajiingiza kwenye mamo ya kufadhili makanisa,wakati kuna kazi nyingi za serikali zinahitaji pesa?
Endelea kuweka neno mkuu.
 
Back
Top Bottom