Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ni masikitiko.Saa 100 ni mfano wa rahisi asiyependa kuumiza kichwa kabisa na anaona njia ya rahisi yeye kujipatia ummarufu ni hiyo ya kugawa psa za wananchi hivyo hovyo Laiti kama angekuwa na uwezo wa kuzitafuta angeziheshimu
Akili mtu wangu, akili tu. Kweli tumuombee Mungu atubariki amuongezee akili. Akili tu maana pesa ipo ila matumizi tu.