Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

Matumizi mazuri unayo wewe Mkuu.
 
1.Hizo 100,000,000/= zitatoka katika mfuko gani, mfukoni mwake au mfuko wa Serikali?

2. Huo ni uchaguzi wa mwaka 2024/2025.

3. Anajaribu kupunguza up upinzani mkali dhidi ya DP World.
 
Uzuri kanisa katoliki halinunuliki ata uwe nani. Hoja ya bandari ipo palepale. Ni mkataba wa hovyo kama wa enzi za utumwa haufai.
 
Hela ya walipa kodi? Waumini wenyewe wajichangie. Serikali isijihusishe na mambo ya dini.
 
Anazitoa mfukoni au hazina?
 
Hapa haja hajachanganya dini na siasa kabisa. Hapa ni Siasa na dini tu, baasi.
 
Waraka upo pale pale kwani dawa ishaingia! Mchango ni jambo la kawaida na hasa mwenye nchi kutoa sio kwamba katoa mfukoni mwake au mshahara wake Bali Kuna nyanja nyingi za kuchangia. Unajua huzi safari nyingi na fungus lake pia ni kodi za wananchi.
Amerejesha kwenye zile anapiga!
Ngozi nyeusi achana nayo!!
 
Endelea kuweka neno mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…