Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

Iyoo Mill 100 ni sadaka ya misa ya wototo broo katolik tupo another level
 
Mill 100 kwa kanisa katolik ni hela ya kawaida kwani misa ya watoto kwa jumapili moja tu wanauwezo ya kuchangia....
 
baraka za Mungu zamiminika Kanisa katoliki
 
Yeye katoa wapi hizo milioni 100?
 
Leo nimeona marekebisho yamefanywa, Rais amekaa kwenye mabenchi na waumini. Kosa la huko nyuma Rais alipelekewa kiti Kutoka Ikulu ndani ya kanisa, Hali hiyo ilileta manung'uniko mengine kuwa mamlaka ya kidunia hayawezi kupelekwa kwenye nyumba ya ibada ambapo Sasa inaoneksna mamlaka mbili ya Dunia na mamlaka ya Mungu. Kwa leo Hali hiyo imerekebishwa, Rais hawezi kupeleka mamlaka yake kwenye nyumba ya ibada, hongereni waliorekebisha Hali hiyo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kanisa Katoliki Manyara,leo wamerekebisha dosari ya nyuma, kiti Cha Rais hakijapelekwa kanisani, Rais amekaa kwenye mabenchi na waumini wengine, kiti Cha Rais toka Ikulu ni mamlaka ya kidunia, kikipelekwa kwenye nyumba ya ibada ni kuchanganya mamlaka ya kidunia na ya Mungu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Makanisa yanajenga:-

1.Shule,
3.Hospitali,
3.Mikopo kwa waumini ambayo huwa mitaji na ajira
4.Majengo makubwa ambayo yanakodishwa nakulipia Kodi serikali
5.Banks
6. Vyuo vikuu, vya kati na hata vya ufundi na mambo kadha wa kadha .

Hizo zote ni kazi za serikali, So 100M sio kwamba ni hela nyingi kutoa kwa kanisa lenye waumini wengi Tanzania na Duniani kwa ujumla.
 
Agawe kwa maknisa yote ,na misikiti yote hiyo ni rushwa
 
Kanisa Katoliki Manyara,leo wamerekebisha dosari ya nyuma, kiti Cha Rais hakijapelekwa kanisani, Rais amekaa kwenye mabenchi na waumini wengine,
Rais yupi wakati taarifa inasema kawakilishwa na makamu!
 
Mate Kiranga , ukiona yule anayeitwa kiongozi anaanza kutupia peremende taasisi kubwa za kidini na kuacha taasisi ndogo zote,ujue huyo ni "mtawala" na si kiongozi.

We are doomed..
 
Hii si sawa,

Halafu rais ni nini maana Rais ni ofisi.... maana yake ni fedha za umma zile.

Ndio maana hata afya yake na ulinzi wake ni sisi wananchi tunawajibika.

Kwa nini wasifanye mambo ambayo ni ya msingi kama umeme na maji.... na elimu badala ya hizi takrima ndogondogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…