Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

Saa 100 ni mfano wa rahisi asiyependa kuumiza kichwa kabisa na anaona njia ya rahisi yeye kujipatia ummarufu ni hiyo ya kugawa psa za wananchi hivyo hovyo Laiti kama angekuwa na uwezo wa kuzitafuta angeziheshimu
Ni masikitiko.

Akili mtu wangu, akili tu. Kweli tumuombee Mungu atubariki amuongezee akili. Akili tu maana pesa ipo ila matumizi tu.
 
Hizi rushwa za samia kwenye makanisa wala haziwezi kumsaidia kitu. Fedha za serikaliio sio za kujenga makanisa. Wakristo hua wanajenga makanisa yao wenyewe siku zote. Ingekua kusaidia huduma kama elimu au afya zinazotolewa na makanisa kwa jamii tungemuelewa.
 
Hiyo ni rushwa na imetolewa na DP World kupitia kwa kuwadi wao Rostam Aziz.
 
Alitakiwa akatoe ANGLICAN, LUTHERAN au MISIKITINI KATOLIKI sio wa level ya milioni 100 kwakweli ni kuwatania! Hili ni dhehebu tajiri!
Kutoa ni moyo wala siyo utajiri, wahenga walisema.
 
Naomba niwekwe sawa.
Hizo fedha anatoa mfukoni kwake au ni za serikali?
mi naomba namba ya Zuhura Yunus, msemaji wa Ikulu, nimuulize

Tukisubiri kuhabarishwa na hawa meat heads wa Wachafu Media na Millard Ayo tutangoja sana
 
Alitakiwa akatoe ANGLICAN, LUTHERAN au MISIKITINI KATOLIKI sio wa level ya milioni 100 kwakweli ni kuwatania! Hili ni dhehebu tajiri!
Kwa taarifa yako KKT ni mziki mzito kwenye uwezo kifedha.
 
Mkija kusikia misikiti 20 inajengwa msilalamike sawa ndugu zangu
 
Mkuu tenda haki, Magufuli Alivyo kuwa anaotao Kanisani, msikitini na barabarani, tena kwa kuongoza Harambee mbona huku pinga?
 
Mkuu tenda haki, Magufuli Alivyo kuwa anaotao Kanisani na msikitini, tena kwa kuongoza Harambee mbona huku pinga?
Nafikiri alikuwa anatoa sadaka yake akiwa kanisani au msikitini. Shida inakuwa kubwa tunapotumia fedha za umma kuwapa mashirika ya dini
 
Ni kweli mkuu, ila tofauti yao na serikali ni kwamba WADAU WETU wanafanya biashara il SERIKALI haifanyi biashara!
 
 
Kwani msikiti uliojengwa Chamwino Dodoma nani alitoa pesa au mnataka tumuamshe Magufuli aseme ukweli au aliogopa waraka wa mashehe! Msitafute chuki za kuokoteza, tukulazimishe utueleze msikiti wa Bakwata Kinondoni ulijengwa na nani.

Msikiti wa Bakwata Kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…