Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

Familia yake itakuwa tajiri mabilionea wa dolla,mumewe atakuwa ni mwanaviwanda Kyle marekani alikuwa anakaa kabla ya Mrs kukwaa urais
 
Hizo siyo pesa zake. Yafaa kusema serikali imetoa,kwani hata wewe ni Serikali. Namaanisha kama siyo kodi zetu,ni mikopo ambayo itatulazimu kuilipa. Neno zuri " Serikali imetoa"
Mkuu Unaumia mama kupewa sifa au?
 
Rais Samia aanza kudungua mafisadi,Nakushauri acha kucheza na fedha za Umma,

So kwenye ujenzi kuweni makini
 
Kazi nzuri sanaa
 
Kaziindelee Mama, Kazi yako haipimiki
 
Samia ana mihela! Haya masuala ya kusema rais ametoa hela kwa ajili ya mradi wa dara/hospitali nk ni ya hovyo sana, yalianza awamu iliyopita na yanaendelezwa na waandishi na vyombo vya habari visivyo na weledi.

Vyombo vya habari viache upotoshaji, viseme serikali imetoa sio rais ametoa

Vv
 
Mama aluta continue
 
Huyu ni Rais wa Wakati wote kwa rekodi
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…