Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Samia Suluhu Hassan hawezi ni kweli,Don't judge me, tujadili content, Inawezekana Rais kutoa pesa? Tujadili hili kama Watu wenye akili
Hapana, unaujua ukweli jinsi nchi Inavyofanya kazi. Rais ni overall na hawezi kamwe kutoa pesa Tena kiasi kikubwa hivyo bila kupitia kwenye mhimili husikaSamia Suluhu Hassan hawezi ni kweli...
Unajua ni Ilani ya CCM ndio imetamka Dodoma kuwa makao Makuu Rasmi,Hapana, unaujua ukweli jinsi nchi Inavyofanya kazi. Rais ni overall na hawezi kamwe kutoa pesa Tena kiasi kikubwa hivyo bila kupitia kwenye mhimili husika
Sema tena ni Samia ametoa au ni serikali
Kazi anayotufanyia huyu Mama kwakweli Mungu azidi kumbariki na ninamuombea sana Mungu amlinde dhidi ya mabaya yote yamuepuke.
Amen
Wewe ni wa ovyo!Kazi anayotufanyia huyu Mama kwakweli Mungu azidi kumbariki na ninamuombea sana Mungu amlinde dhidi ya mabaya yote yamuepuke.
Amen.
# Tunakupenda sana Mama yetu SSH.
Una akili za ovyo ovyo...Unajua ni Ilani ya CCM ndio imetamka Dodoma kuwa makao Makuu Rasmi...
Una akili za ovyo sana!!Serikali ya nani? Who is leading it
kabisa Mkuu wa maana.Wewe ni wa ovyo!
Unataka tubishane au unataka tuelimishane? Are you serious kabisa kutamka kitu kama hiki?Unajua ni Ilani ya CCM ndio imetamka Dodoma kuwa makao Makuu Rasmi,
Aliyewaambia wananchi hizi habari ni Mgombea wa CCM na wao wakamwamini wakampa ridhaa,
Wewe kwanini unasita tusisema Rais Kafanya wakati ndie aliyeahidi,
RAIS =SERIKALIUnataka tubishane au unataka tuelimishane? Are you serious kabisa kutamka kitu kama hiki?
AiseeeRAIS =SERIKALI
Kaziiendelee TanzaniaRais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Yote ni SawaNaombeni ufafanuzi kwani awamu ya 5 na hii 6 kuna upotoshaji mkubwa huwa unafanywa;
Ni raisi katoa au ni serikali imetoa
Katoa kutoka kwenye mfuko wa hazina yake binafsi au ni wajibu wa serikali?Rais Samia Suluhu Hassan ametoa jumla ya TZS 300BL kwaajili ya kukamilisha safari ya Serikali kuhamia Jijini Dodoma,
Waziri mkuu wa Tanzania Majaliwa Khasim Majaliwa amesema jumla ya magorofa 20 yatajengwa na Serikali na mengine 4 yatajengwa na Sekta binafsi.
Akizundua awamu ya Pili ya Ujenzi wa nyumba za Serikali Waziri Mkuu ameoneshwa kuridhishwa na namna Ujenzi unavyoendelea.
Mpaka Sasa Serikali imetumia jumla ya TZS 168BL na imetoa ajira 1,588.
Source : UTV Habari
Rais ni taasisi elewa mkuuKatoa kutoka kwenye mfuko wa hazina yake binafsi au ni wajibu wa serikali?
Mnapaka rangi asiyostahiki
Chawa bwanaaa, pesa ya umma anaita ya rais daah... Yaani hata mkopo wa WB kwa ajili ya covid nayo wanasema mama katoa.Unaumia nini?