Rais Samia atoa TZS 300BL kukamilisha majengo ya Serikali Jijini Dodoma

Naona Hangaya anamwaga tu pesa alafu Wala hajali kujua hizo fedha zimetumikaje, bure kabisa awamu ya wapigaji
 
Kama kuna Rais wa Ukweli Tanzania tumepata basi ni huyu mama,

#MAMA KAZIIENDELEE
 
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
#Tanzania kaziiendelee
 
"Kama Katiba ingeruhusu Mhe Samia Suluhu Hassan hakupashwa kuwa Rais wa mihula miwuli pekee,

Huyu Mama walau kwa Uchache angestahili miaka walau 15 "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…