Hii inchi ina mikoa 26. Huo Ujinga wa Kujenga Flyover, Mwendokasi, na Hospitali Kubwa na za Kibingwa zote Dar UKOME mara moja. Hiyo ijengwe Mwanza.

Mhimbili Hosp yenyewe Haina Ramani sijui ili Designiwa na ma Eng wa Ardhi Univ? VERY POOR.
Hii tabia ya kila kitu kufanyika Dar ni upuuzi na sijui Huyo Waziri akipewa maelekezo na Rais yeye hawezi kutoa ushauri? Kwani Kazi ya wataalamu ni ipi kama sio kutoa maoni stahiki ya namna ya kutekeleza wazo la Mh.Rais?

This is nonsense, yaani kila mtu awe anasafiri maelfu ya km kuja Dar? Hebu viongozi muwe mnajitahidi kufikiria vizuri basi..
 
Ulishasikia Democrats wakitoa maagizo kwa serikali? Ni hii shithole country tu!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii inchi ina mikoa 26. Huo Ujinga wa Kujenga Flyover, Mwendokasi, na Hospitali Kubwa na za Kibingwa zote Dar UKOME mara moja. Hiyo ijengwe Mwanza.

Mhimbili Hosp yenyewe Haina Ramani sijui ili Designiwa na ma Eng wa Ardhi Univ? VERY POOR.
 
Anabwabwaja tu. Inasikitisha sana.
Pengine ndio maana wametoa hizo bil.600 kufanya upanuzi zaidi wa hospital ya Muhimbili,japo wanaodai wanaijenga upya..

Kama ni ujenzi mpya ,hilo eneo la Muhimbili linatosheleza?

Hoja yangu wagonjwa wengi wa Muhimbili sio wakaazi wa Dar tuu bali wanatoka mikoani, Serikali ijenge miundombinu ya kutosha kwenye hospital za Kanda Ili watu tusiende kurundikana huko mhimbili.
 
Kazi iendelee kaka mkubwa,
 
Nchi hii Ina vijana wengi wajinga na wapumbavu sana wapenda kulamba makalio ya watawala😡
 
Nchi hii imeshatushinda!!! Na inaumiza sana mioyo ya wote wenye kupenda vitu kufanywa kitaalamu. Yaani ziara iliyopaswa kufanywa na waziri, au katibu mkuu au angalau kamati ya Bunge ya huduma za jamii - inafanywa na katibu mwenezi wa chama!!! Wakati ni marufuku kupiga honi maeneo ya hospital au hata kupiga kelele, wanatembea na microphone mawodini ili mgeni asikie au asikike vizuri!!

Sijui kama jambo hili anaweza kuruhusiwa katibu mwenezi wa ACT kulifanya!! Au ni "chama kushika hatamu?"
 
Hii inchi ina mikoa 26. Huo Ujinga wa Kujenga Flyover, Mwendokasi, na Hospitali Kubwa na za Kibingwa zote Dar UKOME mara moja. Hiyo ijengwe Mwanza.

Mhimbili Hosp yenyewe Haina Ramani sijui ili Designiwa na ma Eng wa Ardhi Univ? VERY POOR.
Kwanini mwanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anatoa mfukoni mwake eti?????😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…