Rais Samia atoa TZS Bilioni 600 Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili mpya
Amezuru hospitali ya muhimbili na kutoa maelekezo mbalimbali yeye Kama nani kwenye serikali ?🤔 Je yeye ni waziri wa afya, naibu waziri afya, mbunge , katibu wa wizara ya afya, ana cheo gani chochote katika serikali?🤔
Uhuru umezidi nchi hii...Shaka nae anatoa matamko😂
 
Yaani sisi watu weusi Ni Kama vile tumerogwa tumekuwa mandondocha fulani hivi tuna serikali za kipumbavu Sana😡 mtu katibu mwenezi wa chama anakaa na kutoa maelekezo Kama vile yupo ndani ya serikali hii nchi ni genge la walowezi 😡
 
Hii inchi ina mikoa 26. Huo Ujinga wa Kujenga Flyover, Mwendokasi, na Hospitali Kubwa na za Kibingwa zote Dar UKOME mara moja. Hiyo ijengwe Mwanza.

Mhimbili Hosp yenyewe Haina Ramani sijui ili Designiwa na ma Eng wa Ardhi Univ? VERY POOR.
 
Daah
 
Elewa mfumo wa Siasa unavyofanya kazi, naamini hutasumbuka. Chama tawala ni msimamizi wa Serikali, Serikali haitoi maagizo kwa Chama ila Chama ndiyo kinatoa maagizo kwa Serikali. Chama ndiyo kina dhamana ya kuongoza nchi maana kiliomba ridhaa kwa wananchi.

Shaka anakagua utekelezaji wa Ilani ya CCM kwenye kila eneo.
 
Yaani sisi watu weusi Ni Kama vile tumerogwa tumekuwa mandondocha fulani hivi tuna serikali za kipumbavu Sana😡 mtu katibu mwenezi wa chama anakaa na kutoa maelekezo Kama vile yupo ndani ya serikali hii nchi ni genge la walowezi 😡
Elewa mfumo wa Siasa unavyofanya kazi, naamini hutasumbuka. Chama tawala ni msimamizi wa Serikali, Serikali haitoi maagizo kwa Chama ila Chama ndiyo kinatoa maagizo kwa Serikali. Chama ndiyo kina dhamana ya kuongoza nchi maana kiliomba ridhaa kwa wananchi.

Shaka anakagua utekelezaji wa Ilani ya CCM kwenye kila eneo....
 
Uhuru umezidi nchi hii...Shaka nae anatoa matamko😂
Elewa mfumo wa Siasa unavyofanya kazi, naamini hutasumbuka. Chama tawala ni msimamizi wa Serikali, Serikali haitoi maagizo kwa Chama ila Chama ndiyo kinatoa maagizo kwa Serikali. Chama ndiyo kina dhamana ya kuongoza nchi maana kiliomba ridhaa kwa wananchi.

Shaka anakagua utekelezaji wa Ilani ya CCM kwenye kila eneo..
 
Hii inchi ina mikoa 26. Huo Ujinga wa Kujenga Flyover, Mwendokasi, na Hospitali Kubwa na za Kibingwa zote Dar UKOME mara moja. Hiyo ijengwe Mwanza.

Mhimbili Hosp yenyewe Haina Ramani sijui ili Designiwa na ma Eng wa Ardhi Univ? VERY POOR.
hahahahaaaa . . . . . eti ardhi university
 
Hii nchi yetu inakuwa ya ovyooo kabisa... huyu shaka ameenda pale akiwa kama nani na mwenye wadhifa gani kwa hili taifa??

Kwa sasa we need to be salvaged, yaani watanzania tumeshikwa mateka na mafala kutokea uvccm
Hata wewe unaruhusiwa kwenda hapo hospitali. Hivi wewe hujui huyo ni katibu mwenezi wa CCM, ambacho kwa sasa ndicho kimeshika dola. Hata CHADEMA kikishika dola utawaona Benson Kigaila wakienda Muhimbili. Acheni double standard.
 
Hii nchi yetu inakuwa ya ovyooo kabisa... huyu shaka ameenda pale akiwa kama nani na mwenye wadhifa gani kwa hili taifa??

Kwa sasa we need to be salvaged, yaani watanzania tumeshikwa mateka na mafala kutokea uvccm
Shaka ni Mkubwa sana
 
Back
Top Bottom