ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ndivyo ilivyo mkuu, ukishashiba lazima umlambe mkubwa wako nyayo, hatuoni ajabu kwa unayopambania kufanya.Rais Samia ni ngumu kumpata mwingine kama yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo ilivyo mkuu, ukishashiba lazima umlambe mkubwa wako nyayo, hatuoni ajabu kwa unayopambania kufanya.Rais Samia ni ngumu kumpata mwingine kama yeye
Wanajioa tu madaraka wasiyonayo. Msemaji wa chama siyo mtu mkubwa.... Wanajitutumua tu kwa vile chama kimeshika Utamu. Msemaji wa serikali Msigwa ana madaraka makubwa kuliko huyo Shaka wenu.huyi shaka ndo nani?
Watanzania tuwe serious basi , ni lini tutaacha ujinga aiseee
wababaishaji sana nyie jamaa,
Ni lini basi Hospital zetu za rufaa zitakuwa na vyumba vya wagonjwa badala ya kuwaanika kama wako bwaloni.?KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa kwenye ziara hiyo amepata nafasi ya kupokea taarifa zinazohusu taasisi hizo.
Aidha Shaka amepata nafasi ya kuzungumza na Wananchi mbalimbali waliokuwa wakipatiwa huduma mbalimbali.Pia katika ziara hiyo amezungumza na baadhi ya raia wa nchi mbalimbali za Afrika wakiwemo wa Rwanda,Burundi na Congo ambao wamekuja kupata huduma za matibabu ya afya.
Shaka amefanya ziara hiyo leo mchana na lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ilikuwa ni kwenda kumjulia hali mzazi wa Watoto mapacha waliotengenishwa Amina Amosi(18) Mkazi wa Simiyu aliyepo Hospitalini hapo.
Amemtia moyo huku akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii kutembelea mzazi huyo na kumueleza namna ambavyo Serikali itamsaidia malezi ya Watoto.
Akiwa katika ziara hiyo Shaka amepokea taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba pamoja na uwekezaji katika miundombinu.
Aidha Shaka ameeleza mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha sekta ya afya huku akizungumza mipango ya kuijenga Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo zaidi ya Sh.bilioni 600 zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha ujenzi huo ambao unakwenda kuandika historia nyingine katika sekta ya afya nchini.
Hata hivyo amewapongeza watoa huduma katika taasisi hizo kutokana na huduma bora ambazo wanazitoa katika kuwahudumia Wananchi huku akieleza kwamba Kuna mambo makubwa na mazuri yamefanyika tofauti na baadhi ya watu wanavyozungumza.
View attachment 2279400View attachment 2279404View attachment 2279405
Mmewatesa Watanzania kwa miaka zaidi ya 60 ya uhuru,endeleeni kuwatesa huku mkijua mwisho wenu waja,tena mwisho wa aibu ambapo mtatamani kubadilisha majina yenu ili msitambulike.Mtateseka sana yaani,
Tobaaa!!!!???IVF ndio nini chief?
Ujenzi upanuzi kwani Muhimbili inajengwa sasa!Rais Samia Suluhu Hassan kuandika historia katika karne ya 21 ndani ya uongozi wake, kujenga upya hospitali ya Muhimbili.
Fuatilia video katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka ameipongeza serikali kwa kutenga zaidi ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya ujenzi na ununuzi wa vifaa hospitali hiyo ya Muhimbili.
Upungufu WA akili Kwa waTanzania ni threat to national securityHii nchi yetu inakuwa ya ovyooo kabisa... huyu shaka ameenda pale akiwa kama nani na mwenye wadhifa gani kwa hili taifa??
Kwa sasa we need to be salvaged, yaani watanzania tumeshikwa mateka na mafala kutokea uvccm
Khaaa! Ndugu wapenzi kabla hatujaenda mbali nataka nijuzwe Mloganzila inatumikaje kwa sasa? Na Kama imetelekezwa kwa Nini? Mloganzila tulikopeshwa au tulipewa msaada,si mlisema mloga ni hosptari yenye miundo mbinu Bora kabisa kusini mwa jangwa la Sahara na kuwa Ina standard za hospitali za ulaya?KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa kwenye ziara hiyo amepata nafasi ya kupokea taarifa zinazohusu taasisi hizo.
Aidha Shaka amepata nafasi ya kuzungumza na Wananchi mbalimbali waliokuwa wakipatiwa huduma mbalimbali.Pia katika ziara hiyo amezungumza na baadhi ya raia wa nchi mbalimbali za Afrika wakiwemo wa Rwanda,Burundi na Congo ambao wamekuja kupata huduma za matibabu ya afya.
Shaka amefanya ziara hiyo leo mchana na lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ilikuwa ni kwenda kumjulia hali mzazi wa Watoto mapacha waliotengenishwa Amina Amosi(18) Mkazi wa Simiyu aliyepo Hospitalini hapo.
Amemtia moyo huku akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii kutembelea mzazi huyo na kumueleza namna ambavyo Serikali itamsaidia malezi ya Watoto.
Akiwa katika ziara hiyo Shaka amepokea taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba pamoja na uwekezaji katika miundombinu.
Aidha Shaka ameeleza mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha sekta ya afya huku akizungumza mipango ya kuijenga Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo zaidi ya Sh.bilioni 600 zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha ujenzi huo ambao unakwenda kuandika historia nyingine katika sekta ya afya nchini.
Hata hivyo amewapongeza watoa huduma katika taasisi hizo kutokana na huduma bora ambazo wanazitoa katika kuwahudumia Wananchi huku akieleza kwamba Kuna mambo makubwa na mazuri yamefanyika tofauti na baadhi ya watu wanavyozungumza.
View attachment 2279400View attachment 2279404View attachment 2279405
Huu ndio mwanzo wa kusema Muhimbili mali ya CCM(CCM Muhimbili Hospital), taarifa hii inatakiwa itolewe na serikali kupitia waziri wa afya.KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI.
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa kwenye ziara hiyo amepata nafasi ya kupokea taarifa zinazohusu taasisi hizo.
Aidha Shaka amepata nafasi ya kuzungumza na Wananchi mbalimbali waliokuwa wakipatiwa huduma mbalimbali.Pia katika ziara hiyo amezungumza na baadhi ya raia wa nchi mbalimbali za Afrika wakiwemo wa Rwanda,Burundi na Congo ambao wamekuja kupata huduma za matibabu ya afya.
Shaka amefanya ziara hiyo leo mchana na lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ilikuwa ni kwenda kumjulia hali mzazi wa Watoto mapacha waliotengenishwa Amina Amosi(18) Mkazi wa Simiyu aliyepo Hospitalini hapo.
Amemtia moyo huku akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii kutembelea mzazi huyo na kumueleza namna ambavyo Serikali itamsaidia malezi ya Watoto.
Akiwa katika ziara hiyo Shaka amepokea taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba pamoja na uwekezaji katika miundombinu.
Aidha Shaka ameeleza mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha sekta ya afya huku akizungumza mipango ya kuijenga Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo zaidi ya Sh.bilioni 600 zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha ujenzi huo ambao unakwenda kuandika historia nyingine katika sekta ya afya nchini.
Hata hivyo amewapongeza watoa huduma katika taasisi hizo kutokana na huduma bora ambazo wanazitoa katika kuwahudumia Wananchi huku akieleza kwamba Kuna mambo makubwa na mazuri yamefanyika tofauti na baadhi ya watu wanavyozungumza.
View attachment 2279400View attachment 2279404View attachment 2279405

Amezuru hospitali ya muhimbili na kutoa maelekezo mbalimbali yeye Kama nani kwenye serikali ?🤔 Je yeye ni waziri wa afya, naibu waziri afya, mbunge , katibu wa wizara ya afya, ana cheo gani chochote katika serikali?🤔KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI

=====