Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

Wasalam,

Kwa ufupi, haya yanayomkuta Sabaya mama hakukurupuka akaamuru achunguzwe.

Wahusika walipaza sauti hadi kwa RC, PM mpaka Ikulu....

Mafile ya Sabaya ni official na sio propaganda mnazo mzushia makonda kwa chuki zenu!!
Wako wapi wako wapi walioteswa na Makonda, hata mtandaoni hatuwaoni???

Wewe unayesema Makonda nyangumi unaushahidi gani??

Now it's right time to all victims wa Makonda ku rise sauti zao wakiambatanisha na ushahidi kwa vyombo husika.... Na hi ni kwa wateule woote mnahisi walivunja haki za binadamu na matumizi mabaya ya ofisi.

Nipo kwenye foleni Mandela road.
Mchana mwema.
 
ili kufanya kazi iwe rahisi nadhani ni bora wenye malamiko kuhusu DC wao au RC wao, wapeleke malalamiko ili yafanyiwe kazi kwa pamoja kuliko leo huyu kesho yule.
kama kuna tuhuma za RUSHWA, unyang'anyi, uporaji wa ardhi, dhuluma, kuiba wake za watu au waume za watu, upendeleo n.k.
mlango uko wazi sasa
 
Unajua wanapofeli haya mambo wanayapeleka kisiasa ndo mana system inawaangalia tuu maana hawajui chama ni kile kile
 
Hapana namtetea kijana mwenzangu yaani kawaachia mkoa wao na siasa zao lakini bado wanamuonea wifu na maisha yake
Huyo Ni empty headman ht umtetee vipi ukilaza wake hauondoki...

Hafai ht kuwa balozi wa nyumba kumi ukiachana na kuwa na vyeti feki...
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…