Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

pagumu hapo Mkuu!
 
Hamna walichofanya hao ni kawaida yao kulindana tu, wanakutumbua wanakuondoa kwenye nafasi yako then wanakuacha, huyu Sabaya sidhani kama watampeleka mahakamani.
Habari yako kamanda! Bado unamashaka na serikali hii sikivu ya ccm?
 
Sasa unategemea wizi na wauza madawa wakuongee vizuri kama unawakwamisha mambo yako? Mama Samia alikuwa anamaanisha watu wema siyo wizi na wauza madawa.
 
Ben Saanane Mungu ataangaza katika giza nene....giza litakimbia na Mwanga KUTAWALA
 
Sasa unategemea wizi na wauza madawa wakuongee vizuri kama unawakwamisha mambo yako? Mama Samia alikuwa anamaanisha watu wema siyo wizi na wauza madawa.
Je ni sahihi mtu kupora na kuonea "watu" ama kubambikiza makosa ili unufaike? Je hayo magari na makasri hayakutoka kwa wauza ngada??? Au umesahau kuwa kuna "mtu alikuwa anakula raha kuliko mtu yeyote!!?" Je umesahau kwamba kuna mtu alisimama akawaambia wakubwa "...yeye si mtu wa mchezo... hata wakubwa zao wanamjua waulizeni!!" Watu tukaonya YANA MWISHO...
Utapora magari huzikwi nayo...
Utabambika kesi ili upewe rushwa lakini hazitadumu...
Utadhulumu hata kuua lakini hutopata amani...
Utajenga makasri na kuwa na wapambe kibao anguko lijapo litakuacha mpweke...
Utajisifia na kusifiwa mwisho wa sifa zote ni kudharaulika na kusahaulika... wamepita wengi kabla ya hao je wako wapi leo???
Yote kwa yote utalipwa kwa kila tendo wala hutopunjwa hata tone utalipwa kadri ya matendo yako...
Ikiwa ulitenda mema wema wako hautokutupa... ikiwa ulitesa nafsi hutokaa upate amani...
Kama tadinu tudanu...
 
Wengi wanaomlalamikia Makonda ni wezi na wauza madawa.kwa kuwa Makonda aliwaharibia biashara zao. Kama unayoyasema ni ya kweli kwanini hamkwenda kufungua kesi mahakamani??
 
Wengi wanaomlalamikia Makonda ni wezi na wauza madawa.kwa kuwa Makonda aliwaharibia biashara zao. Kama unayoyasema ni ya kweli kwanini hamkwenda kufungua kesi mahakamani??
Arudishe tu magari aliyopora na mali alizojilimbikizia kisha awakane "chawa" wake wanaomtetea ili wapate mlo wao wa kila siku... watanzania wana huruma sana akiomba msamaha maana sanaa anaiweza japo cctv zilimvurugia mipango ATASAMEHEWA!
Kinyume na hivyo saa yaja ambayo mtu atajuta kwanini alizaliwa na mwanamke... anguko kuu litawagusa wengi kwani kifo cha ng'ombe huwa hakimwachi "KUPE" hai...
Maneno mepesi "muda wowote sanda itararuka na maiti itabaki wazi..."
 
Ni wakati tu, watakuwa jela na Kisanduku wakigombea ugali
 
Mwezako Gilbert Kalanje alimtolea nape bastola tayri huko
Sie gazet limepotosha.Yule sio askari ni mpambe wa bashite akishiriki operation za utekaji anaitwa henry Kisanduku au sniper
 
Hawezi kutoa amri hiyo,yeye sio zuzu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wengi wanaomlalamikia Makonda ni wezi na wauza madawa.kwa kuwa Makonda aliwaharibia biashara zao. Kama unayoyasema ni ya kweli kwanini hamkwenda kufungua kesi mahakamani??
Kesi sasa hivi inaunguruma mahakamani huyo kibaka mwenzenu soon ataungana na sabaya jela kugombea ugali maharage. Unasemaje kuhusu hili? Acha kutetea wezi wenzako kwa sababu uchwara.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hangaya ataruhusu hilo kwa best ake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…