MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #121
Nimeelewa na Kuupenda Ushauri wako.Sisi ni marafiki na hilo halina shaka,🤣.
Ila inatakiwa ujifunze jambo moja kwamba; Mtazamo wako juu ya jambo fulani sio lazima uwe ndio mtazamo wangu isitoshe adui yako sio lazima awe adui yangu, juu ya yote tustahimiliane katika maoni na tukubaliane kutokukubaliana bila ugomvi (agree in our disagreement and compromise) hapo ndipo tutajenga taifa.
Acha kuendelea Kunikera sawa Ndugu?Kuniita mpuuzi tayari inatosha kuonesha dharau kwangu. Ndugu yangu wapi nimeanadika tuhuma za Makonda zisiibuliwe?
Sasa kama mimi ni mpuuzi hebu nijibu. Je, ulitarajia kwenye Taarifa hii au nyingine toka Ikulu ieleze hatua dhidi Rais dhidi ya Makonda kwamba achunguzwe tuhuma zake za matumizi mabaya madaraka alipokuwa mkuu wa Mkoa?
Kwani akifanya atakuwa anamuonea au?Rais akisoma uzi wako atafanya hivyo. Sitoshangaa
Sijui, wewe unasemaje kwani?Kwani akifanya atakuwa anamuonea au?
We mbona mtu wa ajabu sana! Kivipi useme nakukwaza wakati sijakutukana wala kukuvunjia heshima. Hi si mimi ndo nilipasa kukwazika kwa kuniita mimi mpuuzi?Acha kuendelea Kunikera sawa Ndugu?
Ole Sabaya amesimamishwa kazi...hajakamatwa....Sasa huyo Makonda asimamishwe kazi kwa kazi ipi aliyonayo Sasa? Au akamatwe kwa kosa lipi?Kwangu Mimi kutokana na Tuhuma zao ( hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao ) namfananisha Ole Sabaya na Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Utoaje AMRI ya Kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuogopa au ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa.
Rais Samia tafadhali hakikisha na hiki ulichokifanya kwa Ole Sabaya pia ukifanye kwa Paul Makonda kwani ana Madhambi yaliyomshangaza hata Shetani.
Barida...!!!We mbona mtu wa ajabu sana! Kivipi useme nakukwaza wakati sijakutukana wala kukuvunjia heshima. Hi si mimi ndo nilipasa kukwazika kwa kuniita mimi mpuuzi?
Acha nongwa mzee bali kama huna uwezo wa kutetea hoja zako kaa kimya na si kutichimbana mikwara kwenye jukwaa hili la watu wa hoja.
Hapa JF jukwaa huru na kwahiyo usitajie kuingwa mkono na kila anayechangia hoja zako bali usiwaite wapuuzi wanakupa changamoto.
Naamini kuwa ana Waganga wazuri tu.Hili nalo ni neno, konda anatakiwa ashtakiwe maana kwa alotenda yeye mwenyewe anajishangaa kwa nini bado yuko uraiani
Kichwani una uhakika Nyaya hazijakata?Sijui, wewe unasemaje kwani?
Nataka Makonda akamatwe tena upesi.Tangia lini kisasi kilishamuacha mtu salama?
Tukianza kuombeana visasi hakuna atakae baki salama
Kumbafu ww....Pumbavu kabisa.
Na Familia yako nzima pia.Kumbafu ww....
Wewe uwewahi hata siku moja ku undergo scientific IQ test au unajisemea tu kwa kuwa uliwahi kusikia watu wanazungumzia nasuala ya IQ, kwa taarifa yako mimi ni member wa MENSA najuwa kisayansi IQ yangu ni ya kiwango gani.Huwa napenda kukutana na Fools wa mfano wako hapa ili niweze Kuwapa yale msiyoyajua na pia niziimarishe vyema IQ's zenu ili muweze kuwa Great Thinkers hasa.
Kwa Taarifa yako hakuna Mtumishi wa Serikalini anayeongoza kwa kuwa na dossiers nyingi za Idarani ( TISS ) kama Paul Makonda ila alikuwa akilindwa vilivyo na Babaake wa Ukabila Mwendazake kupitia Yule Mpuuzi mwingine sasa ni Mtawala pale kwa Mkuu wa Mkoa Tabora.
Usinichefue zaidi nikayaanika usiyojua.
Na ukoo wako wote kumbafNa Familia yako nzima pia.