Rais Samia atua Tanzania, aongelea mafanikio ya safari yake Marekani

Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya Utalii iliyoanguka kidogo kutokana na mlipuko wa COVID19[emoji15][emoji3064][emoji15][emoji15][emoji848][emoji2827][emoji2827]

KUNA SIKU ITAJULIKANA TUU HIZI PESA ZILITOKA WAPI.. Maana kila siku tunabadilishiwa santuri
 
Ngoja tuone ingawa hawa watu wa awamu hii ya uridhi hawaaminiki kabisa.

Wameenda kufanya deals kwaajili yao na matumbo yao...kwa mgongo feki wa watanzania.

#MaendeleoHayanaChama
 
Pole kwa kuumia
 
Mwaka 2015 kwenye kampeni nilikosa kupigwa risasi/bastola kisa nampigia kampeni JPM enzi hizo nikiwa UVCCM nilikuwa nampenda kwa moyo wangu wote mpk March 2016 alipoanza kunyanyasa watu hovyo na kuonea nikajitoa na UVCCM sikutaka tena, sipendi ubabaishaji hata kidogo.
 
Safi sana Mama, Mungu akulinde na akupe baraka tele.
 
a la kumbe unajuwa kwamba mama yako kuwa muongo ki vp au kamuongopea babaako kwamba wewe ni mtoto wake, wote uhuru huo wakati wa bwanawako magufuli usingethubutu kuandika hayo maneno.
Niliandika sn dada angu wala sijaanza leo
 
Mbona hiyo hela ya utengenezaji wa hiyo Movie kila siku ni habr mpya mpya tunafichwa nini?

Jibu Rahisi ni kwamba TUMEPIGWA!
Jibu ni rahisi kwako kwamba una low brain ya kujua mambo haya yako juubya uwezo wako. Ungepata div one angalau ukaenda udsm ungeelewa haya. Lakini div three yako na kwenda SAUT huwezi elewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…