Tena mbishi kweli kweli linapokuja suala la haki.Umekaa kibishi, baki hivyo hivyo.
Yesu Yanga bana, si simba.Na mwana Kondoo ni yupi kama Yesu ni Simba?.
Yesu Yanga bana, si simba.
Hilo tumesamehe baada ya kuwapasha sukuma gang nidhamu ya wofaKweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
We kibibi uko? Ni vile dini yetu imeshika hatamuYesu Yanga bana, si simba.
Hivi unajua kuwa msela alisha andaa sherehe ya ndoa huko mnakopaita Mbinguni na bibi harusi ni nyinyi?Usisahau tu kwenda na kilaini harusini.Huyu aliyetokewa na shetani pangoni akapigwa makofi? Kwanza ni mbakaji angekuwepo angekula mvua ya maiaka 30! Hakuna mtume mzinzi kama huyo!
Anaongea jamba ambalo halijuiKweli kumwita Hayati Magufuli Simba wa Yuda si sawa kabisa. Ni dharau kubwa sana kwa sisi waumini wa dini ya Kikristo.
Maana kwetu sisi Yesu Kristo ndiye Simba wa Yuda.
Rais kweli hapa si sawa kabisa.
Achaa ujinga unakariri vitu. wakriso huwaza na huongozwa na dhamiri kiroho. siyo vitu na majina, dhamiri ya samia haiusiani na yesuHapa ndipo maneno kutoka Timetheo wa pili sura ya nne ule mstari wa saba huwa yanatamkwa kidhihaka. Inabidi maaskofu, wachungaji na mapadri wajitokeze kukemea
Angemuita Simba wa muhamadi s.w ingependeza zaidiAngemuita muhamadi s.w
Tena mbishi kweli kweli linapokuja suala la haki.
Mleta mada hii kaileta kiushari? Mama Samia kamkosa nini? Eti aombe msamaha. Msamaha wa nini pambaf nyinyi.
Yesu toka lini alikuwa simba? Mie najuwa Yesu ni Yanga.
Mungu wa mbinguni alimchukia zaidi kwa matendo yake mpaka akampoteza kuzimuMafisadi, majangili, wauza madawa ya kulevya na wahuni walimchukia sana JPM.
Maana akili zao wanazijua wenyewe!Ingekuwa upande wa waislamu saiv barabara zote ingekuwa zimefungwa
Kifupi madam ameukashifu ukristo
Hakuna anayekataa kwamba Rais Samia anaponyesha majeraha yaliyoletwa na awamu zilizopita hususani ya tano lakini Simba wa Yuda si jina la kumfananisha na mwanadamu.
Mapadri na makasisi wanaolawiti, hufanya hivyo kwa majina yao, na sio kwa niaba ya kanisa.Nyie nae hata mapadri na makasisi wasiooa wanaolawitiana mpaka na watoto wadogo kila kukicha mnawaita baba. Hamueleweki.
Basi tumwite panya wa Yuda.
Hapo Sasa!
Hii kitu itatusababishia majeraha makubwa sana. Mambo ya imani hayakupaswa kusababishwa na viongozi wetu kabisa...Its saaad!Mapadri na makasisi wanaolawiti, hufanya hivyo kwa majina yao, na sio kwa niaba ya kanisa.
Anayelawiti, nafsi yake imekumbatia dhambi na anastahili hukumu ya Mungu. Kulawiti sio mpango wa kanisa. Hata kidogo.
Nasisitiza kujua tofauti kati ya mkristo na ukristo. Mkristo anaweza kuwa na hulka ya ulawiti kama ilivyo kwa mwislamu. Lakini ukristo hauna mafundisho ya ulawiti kama ilivyo kwa uislamu.
Kabla ya kuwa mwanadamu katika mwili alikuwa ni Mungu katika rohoKwani yesu hakua binadamu?