FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tena mbishi kweli kweli linapokuja suala la haki.Umekaa kibishi, baki hivyo hivyo.
Mleta mada hii kaileta kiushari. Mama Samia kamkosa nini? Eti aombe msamaha. Msamaha wa nini pambaf nyinyi.
Yesu toka lini alikuwa simba? Mie najuwa Yesu ni Yanga.