Rais Samia aunda kamati kutathmini utendaji kazi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Nadhani wanatafuta kula kichwa mama Tax;Waziri wetu mambo ya Nje.Kamati itakuja na mapendekezo kadhaa sio rafiki kwa Waziri na team yake.
Hana uzoefu wowote,alipwaya Ulinzi sasa anapwaya Foreign
Lkn kula kichwa mtu uliye mteua mwenyewe hadi upite njia zote hizo?
 
Mabalozi hao hao wanaenda kujitathimini
 
Mkuu, yaani unahisi kwamba wewe utakua unayajua mambo na taarifa nyeti za kila wizara kuliko RAIS wa Nchi?

Kwanini huwa mnalitaka Jeshi la polisi lisijichunguze lenyewe dhidi ya tuhuma zinazolihusu?

Kwanini tusisubirie Report baada ya uchunguzi?
 
Kiukweli Huu ni ubunifu mpya

Labda mchakato wa katiba mpya Ndio umeanza
 
Mama kama hao walioko kwenye hiyo wizara huwaamini utendaji wao wa kazi Kuna sababu gani kuwaundia tume? Si uwaondoe waweke wenye weledi!
Watu wamestaafu wamepumzika
Unawapa kitumia pesa za walipa Kodi hata kama za Msaada! Kwani huoni mashida ya Wananchi wako?

Hili nalo ni tatizo. Then unatarajia kuletewa ripoti ya aina gani.
Polepole alitoa mafunzo mkamwona hafai!
Ungehangaika na KATIBA mama haraka sana.
Nchi ngumu sana.
 
Stegomena Tax ni Sukuma gang anatafutiwa sababu mda si mrefu mtamuona pale mzanzibari!
 
Mulamula alikuwa anakufaa sana ila CHAWA wako wanoko wamekuingiza hizi gharama na sidhani kama utaipata majawabu husika au unavyotarajia!!
 
Huko ni kupoteza hela,Kuna yule Balozi wa Tanzania China,South Korea au Malawi hao ndio wanajua maana ya Diplomasia ya Uchumi,japo polepole Bado Mchanga.

Ondoa huyu tax aende Geneva au Newyork then mmjawapo wa watajwa hapo Juu awe Waziri na Naibu..

Na waambata au maafisa wa kibalozi huko wekeni watu wenye exposure ya biashara, Uchumi,Sheria za biashara nk yaani kiufupi tuwe na majasusi wa kiuchumi.

Hii ya kupachika pachika Watoto wa wanaccm ni kuua Nchi.

Mwisho kabisa Kuna Wizara ya Viwanda na Biashara hakuna inachofanya kwenye kuwezesha facilitation.
 
Huyu kamati zake na wateule wake 60%+ huwa ni waislam wenzake[emoji57]
 
Kwani TISS hawawezi kufanya hiyo kazi?
Hiyo inaitwa cross checking ipo vizuri sana kwa watu wenye uelewa tu..

Ila wateuliwa wote ni diplomacy ni vizuri team ingeusisha wataalam wa taaluma muhimu kwa dunia ya sasa ili mfano wangemuela hata mtu bingwa wa ict, mtu bigwa wa investment na business na n.k ili wakija na majibu waje na maboresho hasa..
 
Kama vipi apewe tu Uwaziri wa heshima JK wa Msoga au arudishwe yule jamaa yetu aliyetaka kuwa Rais bwana Membe... Ikishindikana kabisa nipewe mimi Mh Nangu Nyau ila ofisi ya wizara itakuwa pale Manhatam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…