Rais Samia aunda kamati kutathmini utendaji kazi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Rais Samia aunda kamati kutathmini utendaji kazi Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Ndo maana narudi pale pale kuwa tuanzie majumbani kwetu
Tushachelewa. Tatizo kubwa hadi hawa watu wanakosa nidhamu ni sababu ya maGodfather. Makonda alifanya yote yale sababu ya godfather

Leo kuna mawaziri wanafanya mambo ya ajabu mno sababu ya maGodfather.

Ngoja nikuulize swali unahisi balozi wa Korea togolani akikosea, mama Samia anaweza kumtengua??
 
Tushachelewa. Tatizo kubwa hadi hawa watu wanakosa nidhamu ni sababu ya maGodfather. Makonda alifanya yote yale sababu ya godfather

Leo kuna mawaziri wanafanya mambo ya ajabu mno sababu ya maGodfather.

Ngoja nikuulize swali unahisi balozi wa Korea togolani akikosea, mama Samia anaweza kumtengua??
Hawezi sababu ya JK

Kwa ufupi JK anatakiwa apumzishwe kwa maslahi ya nchi
 
Ya fedha na Nishati ?Yeye,waziri mkuu makamu wa Rais,si ndo wawe kamati kuangalia utendaji wizara zote ?Au wanamchunguza Kabudi,wanataka kujua Magufuli alifungua account ngapi nje?
Kuna wizara zilidanya makosa faster tu mawaziri wakatenguliwa, Ila kuna nyingine hadi Leo hii makosa ni mengi lakini hutaona hata akigusia tu kuwa wamekosea. Kwa namna hii anasubiri maajabu gani ikiwa amebaki na mawaziri asiowagusa?
 
Mkuu GTL, hapa sina wasiwasi wowote kuhusu lililpo tatizo. Huyu muunda kamati anavyo vyombo vyote vinavyompa taarifa kuhusu matatizo mbalimbali kwenye wizara zake na kwingine kote.

Kuunda Kamati kuchunguza Wizara ni ufujaji wa pesa, hakuna zaidi ya hapo.

Kwa hiyo, wewe mkuu GTL umeona kamati ndiyo sahihi kuchunguza tatizo kwenye wizara hiyo siyo?

Basi niambie, wizara ngapi zina matatizo, tena makubwa sana hata kuliko hiyo inayoundiwa kamati.
Kwa maana hiyo basi, nipendekeze kwako, na kwa huyo mteuzi, aunde kamati za kuchunguza, hata vyombo vinavyoshindwa kumpa Mteuzi wa Kamati taarifa sahihi zinazohusu serikali yake!
Sasa sijui hapo utasemaje mkuu wangu.

Pengine itabidi pia iundwe Kamati kuchunguza "Muunda Kamati" mwenyewe.

Lakini ukitaka kujua ushauri wangu wa bure kwake ni kwamba, hiyo wizara husika apewe mtu toka Visiwani aiendeshe, kama si hivyo, basi wizara iondolewe kwenye Muungano, kila upande uwe na wizara yake, ili tumalize muungano haraka.
Nashukuru kwa response yako ya kiungwana na busara.

Lets see the upcomings.
 
Kamati inaundwa ili kuchunguza utendaji kazi. Ni kichekesho hiki

Swali langu mara nyingi kwa mama samia huwa kwa nn anachagua sana maeneo ya kufanya haya? Kuna wizara ambazo alipaswa pia kufanya haya lakini huwa anakaa kimya
Huyu ni kiongozi mwenye maslahi maalum, siyo kiongozi wa maslahi ya nchi. Hiyo ndiyo sababu.
 
Back
Top Bottom