PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Anacho weza ni kutengua na kuteua yuko tyri afanye hata miaka 5 yote. Na siko kuwasaidia watanganyika na kupanda kwa gharama z maisha.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Samia ni either anataka kumlithiisha mtoto wake Urais au kuingiza nchi kwenye machafuko.

Akae chini ajiulize kama anajua maana ya Tume aliyounda, Jana nimesema vijana wa JWTZ, CCM inaona baadhi yenu ni Nyoka, inataka kuwatengenezea kesi mmoja mmoja hili msiungane..
Unapoint...usikilizwe
 
Nyie gomeni vunjeni vitu chomeni weeeee baada ya hapo wenzenu wanagonga mamilioni ya tume na ufuatiliaji na marekebisho
 
Acha kupotosha,wahamasishaji walioko nje?..kama watu waliandaliwa ndani kufanya uhalifu, maana yake kuna wandaaji,wachochezi nk,waliosema kitanuka,hapatakua na uchaguzi sharti wanyee ndoo
Watachunguza ni wapi kura 31m zimetokea, au hizo ni za muhalifu mkuu mwenye kinga? Yaani hakuna anayeogopa hiyo tume ya wase@@nge, naona unongea kama vile kuna anayeiogopa.

Tumefika mwisho wa kugeuzwa mazombie na majizi wa Mali za nchi hii. Kujipa madaraka ya wizi na kufanya mauaji kisha ujifanye mtakatifu, mtawaokota wajinga.
 
, there are serious criminal matters the likes of random and indiscrimately shooting of thousands of people termed as summary executions that require a special investigative body to facilitate legal accountability.
Hii tume; kweli itachunguza kujuwa ni kina nani hasa waliotekeleza mauaji??????

Serikali hawajui siku hizo ni kina nani walipewa silaha wakawawinde waTanzania huko mitaani; kwamba sasa inalazimu iundwe tume kutafuta ukweli huo?

Ina maana kuna kundi pembeni ambalo serikali hawakuwa wakijuwa kuwa lipo, limeandaliwa kuua waTanzania?

Mbona inatisha sana; kama ni kweli!
 
📍MAMA KAZINI

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai kuchunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Tume hiyo itaongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, ikilenga kubaini ukweli na kuimarisha amani nchini.
.
.
.
@ikulu_mawasiliano
@samia_suluhu_hassan


#kaziNaMaendeleo
#mamakazini
 
IMG-20260518-WA0008.jpg
 
📍MAMA KAZINI

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai kuchunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Tume hiyo itaongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, ikilenga kubaini ukweli na kuimarisha amani nchini.
.
.
.
@ikulu_mawasiliano
@samia_suluhu_hassan


#kaziNaMaendeleo
#mamakazini
Serikali sikivu ya CCM,
huahidi mambo kwa maneno na kutekeleza kwa vitendo.

well done Dr Samia Suluhu Hassan.
Tanzanians believes and trust ara upon you 🎉
 
Ndiyo wahusika,hapatakua na uchaguzi,tutakinukisha,siku ya uchaguzi vituo vikachomwa,pakanuka
Inahitaji kuwa na mtindio wa akili kutoona uhusika wa chadema
Wapuuzi watupu, kama watu walizuiwa kufanya siasa miezi mitano kabla ya uchaguzi, na bado watu wakatii maagizo yao, nyie mkiwa mnafanya kampeni bila usumbufu si muwapishe tu wakae madarakani?

Yaani ni bonge la aibu kuwataja cdm ambao hawakuwa na platform zaidi ya miezi mitano kabla ya uchaguzi. Hiyo tume imeundwa na muhalifu mkuu, na unafanya kazi sio kwa haki, bali kutaka kumsafisha kuwa ni msafi, na wengine ndio wakosaji.
 
📍MAMA KAZINI

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai kuchunguza matukio ya ghasia yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Tume hiyo itaongozwa na Jaji Shabani Ally Lila, ikilenga kubaini ukweli na kuimarisha amani nchini.
.
.
.
@ikulu_mawasiliano
@samia_suluhu_hassan


#kaziNaMaendeleo
#mamakazini
Japo ile kauri yako maarufu ya kububujikwa na machozi haujaiweka Ila nimeshakujua hata kama umekuja na ID nyingine
 
Mapito ya waheshimiwa majaji

Mhe.Jaji (Mstaafu) Awadh Bawazir​

Awadh Bawazir photo

Mhe.Jaji (Mstaafu) Awadh Bawazir​

Mwenyekiti Rufani ya Zabuni za Umma PPAA: Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma PPAA ni chombo cha kisheria nchini Tanzania chenye jukumu la kusikiliza na kutatua malalamiko na rufaa zinazotokana na michakato ya ununuzi wa umma na utupaji wa mali za umma. Inafanya kazi kama mhimili huru wa kisheria unaosimamia haki na usawa kwa wazabuni na taasisi zinazonunua .


Retired Judge Gad John Mjemmas
View attachment 3590734

Pichani ni Jaji Mstaafu, Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, Mhe. Gad Mjemmas ​

The President of the United Republic of Tanzania, Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan, has appointed Retired Retired Judge Gad John Mjemmas as the Chairperson of the Tax Revenue Appeals Tribunal (TRAT) 2025

Baraza la Rufaa la Mapato ya Ushuru (TRAT) nchini Tanzania ndilo chombo cha pili cha rufaa kwa migogoro ya kodi . Jukumu lake kuu ni kusikiliza na kuamua migogoro ya kodi ya kiraia kati ya walipa kodi na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), hasa likifanya kazi kama chombo cha rufaa kwa maamuzi yaliyofanywa awali na Bodi ya Rufaa ya Mapato ya Ushuru (TRAB). [1, 2, 3]

19 October 2018
View attachment 3590736
Mhe. Jaji Kiongozi (katikati) akimkabidhi shada la maua, Jaji Mstaafu, Mhe. Jaji Gad Mjemmas ikiwa ni ishara ya pongezi kwa kustaafu salama, anayeshuhudia (aliyesimama nyuma mwenye miwani) ni Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kitengo cha Usuluhishi ‘Mediation’, Mhe. Rose Teemba na kulia ni Jaji wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Ardhi, Mhe. Crencensia Makuru.
(Picha na Mary Gwera, Mahakama)
​


Jaji Aishiel Nelson Sumari
View attachment 3590717
24 Juni 2014 Jaji Aishiel Nelson Sumari mfawidhi wa mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Moshi Jaji Sumari majaribuni tena Moshi | JAMHURI MEDIA

MAAMUZI YA KESI MUHIMU KABLA YA MAJAJI KUSTAAFU :
..


​

Panafrican Energy T. Ltd vs Commissioner General Tra (Civil Appeal 121 of 2018) [2019] TZCA 170 (31 May 2019) - [2019] TZCA 170​

​

Hawa wazee waliostaafu kuwa majaji 2014, wakateuliwa kwenye Bodi za Tender, Bodi za Kodi n.k wakamaliza muda wao kwa kuonekana ni wazee lakini wanarudishwa tena wamekongoloka wakiwa na umri wa miaka 80

Umri wa Jaji wa Mahakama Kuu kustaafu ni miaka 60 na 65 kwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
Masharti ya Ibara ya 118 (2) ya Katiba kuhusu umri wa kustaafu wa Jaji Mkuu kuwa miaka 65 na si umri wa kustaafu kwa Jaji wa Rufani.

Uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kumuongezea muda Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania hauvunji Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama ilivyofanyiwa marekebisho mara kwa mara.

Hii ni kufuatia uamuzi wa Mahakama Kuu, Masjala Kuu, uliotolewa jana tarehe 22 Septemba, 2023, na kutupilia mbali kesi ya kikatiba lililowasilishwa na Humphrey Malenga, mleta maombi, ambaye ni raia wa kawaida.

“Rais ana mamlaka kwa mujibu wa Ibara ya 120 (3) inayosomwa pamoja na Ibara ya 118 (2) ya Katiba ya kuongeza muda wa Jaji wa Rufani ili kumwezesha kuendelea kutekeleza majukumu yake. Naona maombi hayana mashiko. Nayatupiliwa mbali,” Jaji Godfrey Isaya alisema.
Source : JSC | Habari

"Nina hakika kwamba Ibara ya 120 (1) inahusiana na inafanya kazi kwa kuzingatia masharti ya Ibara iliyofuata. Hakika, hakuna katazo kwa Rais kila anapoona ni kwa manufaa ya umma kwamba Jaji wa Rufani kuendelea kuwa madarakani baada ya kufikisha umri wa miaka 65 chini ya Ibara ya 120 (3) ya Katiba. Kwa kuwa ni sehemu muhimu ya Jaji wa Rufani, Jaji Mkuu naye pia anahusika,” alisema.
Source : JSC | Habari
HabariLeo
https://habarileo.co.tz
Wanasheria: Rais hajavunja Katiba kuongeza muda Jaji Mkuu

3 Jul 2023 — “Ili uweze kujua umri wa kustaafu wa Jaji wa Mahakama ya Rufani lazima uende kwenye Ibara ya 120 (1) ambayo imetamka miaka 65, hivyo umri wa..
1779136663938.jpeg
 
27 May 1977

Vyama dola kongwe MPLA, CCM na historia ya uganganizi wa madaraka kupitia kumwaga damu

27 May 1977

Angola’s Forgotten Massacre​

ByDelinda Collier
Lara Pawson's book about the complex and violent events on and after the 27th of May, 1977: the date of a supposed coup d’etat in Luanda, Angola.

View: https://m.youtube.com/watch?v=5sT7GPkf21U

864052816244.jpg

Graffiti on a wall in Luanda commemorating the tragic events of 27 May 1977.


In her famous tract on literature and trauma, Cathy Caruth writes: “If Freud turns to literature to describe traumatic experience, it is because literature, like psychoanalysis, is interested in the complex relation between knowing and not knowing . . . ”

In the Name of the People: Angola’s Forgotten Massacre (2014), by journalist, Lara Pawson, is literary reportage that flirts with memoire. It tells a slice of the complex and violent events on and after the 27th of May, 1977: the date of a supposed coup d’etat in Luanda, Angola.

As the coup (or demonstration, depending on who is speaking) was initiated by internal dissenters of the (still ruling) MPLA party in the early years of Angolan independence, it has been scarcely acknowledged within Angola, and absent from discussions outside the country.

In the years following the events of vinte-sete de Maio, thousands were purged from the MPLA, including many who were demonstrably innocent of collusion with the opposition, led by Nito Alvez, a former government minister. The numbers killed are only surmised, and the wide disparity of numbers each party claims tells of the darkness that shrouds the vinte-sete: claims are anywhere from four to 2,000 to 90,000.

Now, if literature provides a key to traumatic experience, the historical content in Pawson’s book includes overviews of historical writing, witness and victim testimony, confession, and description: both hers and others’.

The confessionary model has been used in modern truth and reconciliation hearings, but this book, however, is the struggle of a reporter and a sympathizer to come to terms with what happened in a country far from her home in Britain.

As she was paid to witness events in Angola as a war correspondent for the BBC in the 1990s, the events of the country haunt her in an oblique and powerfully confusing way. In fact, one of the many crises that emerge in the course of the narrative is that of the public sphere, especially given the media networks within which Pawson moves. If, as Graça Francisco insists (reprinted in the opening of the book), this is Angola’s history alone, what are the affiliations, strings, attachments, and collusions that allow someone like Lara Pawson to engage? Pawson answers: “Someone has told me a story. Why do I believe it? Will anyone else? I just want to stay very still, to let the heat fill me up, and to know that Maria [a victim of the vinte-sete] is beside me, that we are together, sewn into each other’s skin by an immense effort to revisit the past. Before I met her today, I believed that cultivating the memory was an obligation: now I’m beginning to understand that it’s also an art.”

There are two major crises the book lays out: political and historiographical. Therefore the question that immediately presents itself is whether this book should be considered a contribution to existing (though scarce) literature on the vinte-sete or whether it exists more as an elegy and reverberations of the vinte-sete. Politico’s José Pedro Monteiro points out that the tactic of confession and the subjective textures of memory can also immunize Pawson from the burden of facticity. If these are just stories from particular points of view, what is the point of trying to determine the truth of this set of events?

Perhaps, then the book spells out what historian David William Cohen called “the risks of knowledge.” It has become, in fact, common in Angolan historiography to turn to memory because of the lack archival evidence and the obscurity of official documents: in the vinte-sete case, there are very few documents or official statements outside of the sixty-five page pamphlet published by the MPLA in 1977. And consider the archival reliability of the publication. The pamphlet ends with a whole page block letter quote from the Political Bureau of the MPLA, a purist Leninist sentiment:

We will apply the Democratic Revolutionary Dictatorship to finally finish with saboteurs, with parasites, and with opportunists.
In this quote is the seed of contention, which rages on today, about who were the peasants and proletariat that were to be the beneficiaries of the “new Angola”. If the vinte-sete has a particular valence today, then it is perhaps the ghosts of the MPLA that are emerging as the country moves on from the 2002 ceasefire and manages an economic boom.

But if one of the criticisms of the book is that Pawson blows the vinte-sete out of proportion in relation to the millions who died in the war with UNITA, it is because the war has been the only history told about the MPLA; it is the only one that for the party is verifiably “heroic” and moral. It is in this vein that the issue of numbers of dead becomes important. She asks whether it would be any less horrifying if the number were 2000 instead of 90,000. Of course it would be less of an “event,” still abject, but comparatively insignificant given the overall level of trauma and numbers of dead in the years since the 1961 insurgency against the Portuguese. Counting the dead and determining the official cause and labels has become the political plague of modern war worldwide.

A major contribution of the book is the refusal—poised on an inability—to discuss this event on the level of official history. The most riveting moment for me was when Pawson describes sitting at a beachside café watching while two men might be murdering a man; she’s not sure. I read it several times, attempting to process the same scant amount of information she gives. This sense of alarm and absurdity—sitting comfortably on a beach while feet away someone violently loses their life—discernibly shapes the affect of the book. The vignette is telling of the positionality that so clearly troubles her: she sits comfortably and safely in a space demarcated by money, status, a labyrinth of laws, and international intrigue, while gazing in horror at what happens just on the other side of that boundary. She is a witness

Source : Quando os bons se viraram contra os seus

Truth and Reconciliation Commission Angola May 27 1977 Massacre

View: https://m.youtube.com/watch?v=4oLkyXhIrtA

Joe Slovo, the SACP and the Angola massacre of May 1977

Paul Trewhela examines the Party’s response to the mass killings

Source: Politicsweb.co.za,
26 January 2015

South Africa and the Angola massacre of May 1977
1779144390241.jpeg

Despite (or because of) the legions of the Politically Correct in academe in South Africa and elsewhere since 1994, there has been no translation into English of a raft of books published in Portuguese since 2007, with a massive bearing on South Africa’s past and present.

The subject of these books is the massacre of thousands of mainly black Angolans between 1977 and 1979 by the MPLA government (in power for 40 years, this November) on a scale infinitely bigger and more horrific than anything carried out by the white governments of apartheid South Africa and Ian Smith’s Rhodesia, and infinitely more horrifically kept quiet. (And this is not even to begin talking about a further massacre carried out against its citizens in Angola by the same MPLA government in October/November 1992, in lieu of holding an election).

The hypocrisy stinks.

The issue is not less acute in view of the response of the South African Communist Party to the Marxist-Leninist massacre carried out by the MPLA, beginning in Luanda on 27 May 1977, even while it was continuing. Anyone can read online today the SACP’s endorsement of the massacre in its exile journal, The African Communist (No.71, Fourth quarter, 1977, p.51). Published in heavy black type while the regime’s killings were still going on, the SACP’s effective endorsement stated:

Long live the Unity of the Nation!
Death to the splitters!
Forward to the Congress!
The Struggle Continues!

“Death to the Splitters!”

The word “death” meant what it said, plus plus plus. Angola has never recovered.

Published by the SACP under the heading “How the Angolan coup was crushed” and anticipating the MPLA’s transformation of itself at its First Congress the following December into a Marxist-Leninist “Workers Party”, these words are prefaced by the SACP’s own introduction. This reads:

“On July 12, 1977, the Political Bureau of the Central Committee of MPLA issued in Luanda a 29-page statement analysing the origins and development of the attempted coup d’état on May 27 and showing how popular forces rallied to defeat the splitters. The statement, and the harsh experiences on which it is based, contain profound lessons for all revolutionaries, not only in Africa but throughout the world. The following extracts are from the statement….”

The MPLA’s injunction to kill, ordered by the ruling group in the party headed by President Agostinho Neto, was published in an issue of the African Communist commemorating the 60th anniversary of the revolution in Russia in 1917.

“Long live the October Revolution!” begins the editorial. “We dedicate this issue of our journal to the most important event of this century – the Great October Revolution in Russia in 1917, which marked a decisive turning point in the history of the world.” (p.5)

Communist revolution – “Death to the splitters!” – massacre. No Truth and Reconciliation here.

Like every issue of The African Communist between 1959 and 1994, the entire magazine is available online at the site of Digital Innovation South Africa (DISA), based at the University of KwaZulu-Natal, and readers can research its contents for themselves. (Ironically, the massacre which continued in Angola between 27 May 1977 and the death of President Neto in Moscow in September 1979, from cancer, was carried out mainly by a different, and very greatly feared, DISA – the MPLA’s secret police, Direcção de Informação e Segurança de Angola, the regime’s NKVD or Gestapo).

The entire text of the MPLA Politburo’s statement of 12 July 1977 should be read online through the link above, together with Lara Pawson’s painfully detailed investigation of what really happened, in her book, In the Name of the People: Angola’s Forgotten Massacre, published by IB Tauris in London in April last year – so far, the only effort made in any book written in English to get to the truth of this appalling episode in African history, with its long-standing, continuing effect in south-central Africa. That itself is a disgrace, in English-language studies of modern Africa.

A much briefer, but succinct and earlier account by Lara Pawson, “The 27 May in Angola: a view from below”, published by Instituto Português de Relações Internacionais (IPRI) at the New University, Lisbon, in June 2007, is available online in English, and should be read.

“The Angola massacres of 1977-79: Their national and regional consequences”, Professor Kenneth Good’s brief summary on Politicsweb last year of the historical thread in Lara Pawson’s book (29 September 2014), is a helpful survey.

In its statement of 12 July 1977, the MPLA Politburo decreed that those against whom it directed its vengeance would be “punished with all severity and without pardon.” (p.44)

It added: “We shall apply Revolutionary Democratic Dictatorship, to finish with saboteurs, parasites and speculators once and for all.” (African Communist, p.50)

There, in Angola, was the truth of Marx’s programme of the dictatorship, carried out under a blanket of terrified silence: “to finish…once and for all.”

Within three weeks of the beginning of the massacre, the members of the Co-ordinating Commission for the Liberation of Africa of the Organisation of African Union (OAU) met in Luanda on 14 June 1977, the killings going on under their noses. The Commission was addressed by President Neto, his address carried in the African Communist in the same issue as the MPLA Politburo’s exhortation to massacre, printed directly after its statement of 12 July 1977.

“Firmness pays”, he said. (p.57)

In an authentic moment of totalitarian practice, Neto had broadcast on national radio in Luanda on 28 May 1977, when the massacre was already well under way: “Certamente não vamos perder tempo com julgamentos. Seremos o mais breve possível. (“Certainly we will not waste time with trials. We will be as quick as possible.”)

As Neto told a meeting of Angolans when he made a visit to Cuba in July 1977, “There won’t be judicial processes. There will just be death sentences.” (quoted in Pawson, In the Name of the People, p.74)

While the MPLA’s killings were still going on, the African Communist continued in 1978 with a two-part interview by Joe Slovo with Lucio Lara, the most powerful man in Angola after Neto, member of the Politburo of the MPLA-Workers Party and secretary for organisation of the Central Committee. In the first part of the interview, headed “How the Angolan revolution was built”, Slovo addresses Lara as the leader of a party with “such a wealth and variety of revolutionary experiences.” (African Communist No.74, Third quarter, 1978, p.18)

In the second part (African Communist No.75, Fourth quarter, 1978), headed “Main phases in the development of the Angolan revolution”, he praises the MPLA for its “principled class position.” (p.56)

Some wealth, some variety, some principles….

Slovo asks no questions when Lucio Lara sails over the massacre of hundreds of black working class people in the township of Sambizanga – the Soweto of Luanda, where Cuban tanks roared over tin shanty houses, crushing women and children – with Lucio Lara sneering at the inhabitants as a “lumpenproletariat”, against whom the MPLA had to “take rigorous measures.” (Slovo interview, first part, pp.30-31)

In the same way, Slovo asks no question when Lara speaks of “the future extinction of the importance of the petty bourgeoisie in the revolutionary process” – a reference to the intellectuals whom it was executing en masse. (First part, p.34)

In the second part of the interview, Lara refers directly to what he calls “the factionalist outburst, in 1977” and to the oppositional current “of Nito Alves, of nitism, which organised the attempted coup in May 1977.” Slovo asks him directly: “What were the basic causes of the May 27 Coup, and how would you characterise the groupings which participated in it?” (pp.58-60)

To this, Lucio Lara responds by stating: “We can say that those who took part in the attempt were essentially a small group of petty bourgeois people, who also succeeded in involving some former fighters, particularly from areas close to Luanda with whom they were identified.” (p.60) Lara concludes that the MPLA was aiming towards “a state form whose essence is a revolutionary democratic dictatorship….” (p.66)

Again, this is never questioned by Slovo. He makes no attempt to find out what happened to individuals named by the MPLA Politburo in its statement of 12 July 1977, or to unknown thousands of others.

With Lucio Lara, we have here a political philosophy from the time of Joseph Stalin. A former functionary of the regime told Lara Pawson he was present at a highly-level meeting during the massacre, at which Lucio Lara “compared Angola with the Soviet Union ‘at the time of Stalin’.” (In the Name of the People, p.105)

There is no difference here between the mentality of Lucio Lara and Neto, on the one hand, and Stalin’s political philosophy of the mass purge of people perceived as having different opinions from his own, or Stalin’s “liquidation of the kulaks as a class”, or his deliberate engineering of the collectivisation famine in the Ukraine

This is also the closest I’m aware of in which a leader of the Central Committee of the SACP comes to a public identification of the SACP with Stalin’s philosophy of mass executions, in an African country in which the SACP and the ANC were based at a time when mass executions were being carried out.

South Africa needs much more intensive knowledge about what actually happened in Angola. The following books are among those available in Portuguese, but not in English translation. It is urgent that they be translated into English and made accessible to South Africans, among them, not least – the former members of Umkhonto we Sizwe who were based in Angola. These books include:

  • Miguel “Michel” Francisco, Nuvem Negra: O drama do 27 de Maio de 1977 (Lisboa, Clássica Editora, 2007). “Nuvem negra” means “black cloud.” The author was a former commander in FAPLA’s 9th regiment, almost all of whose members were executed. He was saved by being ill at home on 27 May 1977, and escaped when DISA came for him, later imprisoned in a concentration camp. I understand this was the first autobiography on this subject. The author is alive, and was interviewed by Lara Pawson for her book.
  • Álvaro Mateus and Dalila Cabrita Mateus , Purga em Angola: Nito Alves, Sita Valles, Zé Van Dunem o 27 de maio de 1977 (Porto: ASA Editores, 2007). The title means “purge in Angola”, followed by the names of three MPLA leaders who were executed. In an interview in a Portuguese magazine in 2008, the widow of Agostinho Neto described the author of the book, Dalila Mateus, an historian, as having been “dishonest and lying” (“desonesta e mentirosa”) about the massacre. She was convicted of aggravated defamation in a libel case in Portugal in April 2013, and fined. The verdict was overturned by the court of appeal (Tribunal da Relação) in Lisbon on 20 November 2013. Dalila Mateus died in October last year.
  • Américo Cardoso Botelho, Holocausto em Angola, Memórias de entre o Cárcere e o Cemitério (Lisboa: Nova Vega, 2008). The title means “Holocaust in Angola: Memories of the prison and the cemetry.” Botelho, a Portuguese engineer and senior figure in the diamond mining company, Diamang, was imprisoned for three years, and smuggled his cryptic diary notes out of prison.
  • José Fragoso, O Meu Testemunho – A Purga do 27 de Maio de 1977 e as suas Consequências Trágicas (Edição Sistema J, Luanda, 2009). Fragoso is a former FAPLA commander in the 9th regiment, later a general, who was imprisoned by DISA. The title means “My testimony: The purge of 27 May 1977 and its tragic consequences.”

These and other sources published in Portuguese remain inaccessible to most South Africans.

It is no accident that the ANC’s most notorious prison camp for its own members in exile was in Angola, known to its victims by a Portuguese name – Quatro. It was founded on the MPLA model.

From first-hand observations, Botelho’s book records the following:

“Factos pouco conhecidos como a detenção, às ordens do MPLA, dos militantes sul-africanos do ANC que por essa época se treinavam em técnicas de guerrilha em Angola e que pagaram em intermináveis sessões de tortura a sua recusa em participar na guerra civil angolana….”

In a rough translation into English: “Little known facts, such as the detention on MPLA orders of South African activists of the ANC who were being trained in guerrilla techniques in Angola at that time, and who paid in endless sessions of torture for their refusal to participate in the Angolan civil war….”

The Angola massacre is a South African issue.

In Russia, the archives of the KGB, the International Department of the CPSU and the Defence Ministry remain closed and were never declassified – and so provide no light on the massacre in Angola. That is no reason for English-language scholars of the sub-continent to deprive readers with the same constriction.

A disparaging review of Lara Pawson’s pioneering account in English of the massacre by Colin Darch, Senior Information Specialist in the University Library, University of Cape Town, which was published at the end of last year in the South African Historical Journal (Vol. 66, No.4), makes no reference to any of the sources above which have been published since 2007, written in Portuguese. Five of his six references are dated in the late 1970s from the immediate aftermath of the massacre, and his most recent reference is dated 1992. This disregards Lara Pawson’s reliance on recent sources and her enormous care not to prejudge on what she was told and – reluctantly – found out.

By contrast, an important paper by a teaching associate at Cambridge University and former BBC correspondent in Angola, Justin Pearce, published this month in the Journal of Southern African Studies (Vol.41, No.1), with the title “Contesting the past in Angolan politics”, provides scholars with independent confirmation of the justice of Lara Pawson’s researches.

Justin Pearce reports a “renewed preoccupation with history in Angolan political discourses over the past decade”, and how “young active activists are preoccupied with events that they are not old enough to remember.” (p.104) A major theme in his paper is the control of memory in southern Africa by the ruling political elites, and he gives respectful attention to Lara Pawson’s book, noting that she “describes how even Angolans who had lost relatives in the violence of 1977 appeared to collude in the silence.” (p.112)

Pearce notes that the strategy of the MPLA and the Angolan government has been “as much about silencing inconvenient versions of history as about its preferred ones”, but that despite this there has been an “emergence of regular street protests in Luanda from early 2000”, loosely organised and now referred to as JuventudeRevoluciona´ria (Revolutionary Youth). (pp.112-13)

“They described the attitude of their parents’ and older generations as one of fear: a fear of taking political action as a result of the experiences they had lived through. ‘Those who lived through the trauma of 27 May are the ones who are frightened’, one activist said. Another added, ‘My own mother says “watch out or the MPLA will kill you” – I can’t live in this dictatorship’, and then proceeded to recite the names of Nito Alves and others killed in 1977, names that his mother would not have dared to speak publicly.” (p.114)

This confirms that, alongside a real “wealth” and “variety” of historical books now available in Angola, a revolution in consciousness is under way among young people, best compared with the spirit of fearless inquiry, defiance and political contestation of the early period of the Black Consciousness Movement in South Africa in the late 1960s and 1970s, under the leadership of Steve Biko.

It will not be silenced, and its effects will reverberate through the sub-continent.

People in South Africa, Namibia, Zimbabwe and Mozambique should keep informed. In Angola, conscientisation is on the move.

****
 
******* hawa, Yaani tume inaundiwa tume...! Alisikika R.O.M.A
 
𝗗𝗞𝗧 𝗦𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗔𝗧𝗘𝗨𝗔 𝗧𝗨𝗠𝗘 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗝𝗜𝗡𝗔𝗜

Inatokana na ahadi yake ya kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Jaji Chande

Imeundwa na majaji watatu,chini ya Mwenyekiti Jaji wa Rufani Shabani Lila

Ni hatua ya pili kabla ya Maridhiano,kisha Mchakato Mabadiliko ya Katiba
20260519_074557.jpg
 
Tume hiyo inalenga kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ili kuchukua hatua stahiki na kuimarisha usalama wa taifa, huku Jaji Lila akisaidiana na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Gad John Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir na Aishieli Nelson Sumari.

Imeundwa kuwatia nguvuni wapinzani, viongozi kadhaa wa dini na wanaharakati...
 
Back
Top Bottom