PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

PostGE2025 Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia za Uchaguzi mwaka 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
18 May 2026

JUDGE SHABAN ALLY LILA TO LEAD THE TANZANIAN COMMISSION OF INVESTIGATION INTO THE CRIMES AGAINST HUMANITY FOLLOWING RIOTS OF OCTOBER 29, 2025​

Monday, May 18, 2026



The President of the United Republic of Tanzania, Hon. Dr. Samia Suluhu Hassan today, Monday May 18, 2026, in implementing the recommendations of the Presidential Commission to investigate incidents of breach of peace that occurred during and after the October 29, 2025 General Election, has formed a Commission to be headed by Court of Appeal Judge Hon. Shaban Ally Lila to conduct a criminal investigation into the events of October 29, 2025.
View attachment 3590816
Photo : Judge Shaban Ally Lila

A statement issued by the Chief Secretary of the cabinet, Ambassador Dr. Moses Kusiluka, said President Samia has also appointed Hon. Gad John Mjemmas, Retired Judge of the High Court of Tanzania, Hon. Awadh Mohamed Bawazir, Retired Judge of the High Court of Tanzania and Hon. Aishiel Nelson Sumari, Retired Judge of the High Court of Tanzania, as Commissioners of the Commission.
View attachment 3590818
Photo : Retired judge Gad John Mjemmas

According to Ambassador Kusiluka's statement, the appointment made by President Samia Hassan was made in accordance with the powers she has under the Commission of Inquiry Act, Chapter 32.
View attachment 3590823
Photo : Retired judge Aishieli Nelson Sumari

Retired Chief Justice Mohamed Othman Chande proposed the establishment of a Criminal Investigation Commission to investigate in detail specific criminal incidents against humanity, looting and riots that occurred during and after the October 29, 2025 General Elections. The recommendations were made in April 23rd, 2026 when the Presidential Commission to Investigate Incidents of Breach of Peace submitted its report to President Samia Suluhu Hassan.
View attachment 3590825
Photo : retired judge Awadh Bawazir

Judge Mohamed Chande explained that, although his commission identified the sources and general trends of violence before and after the October 29 General Election, there are serious criminal matters the likes of random and indiscrimately shooting of thousands of people termed as summary executions that require a special investigative body to facilitate legal accountability.

19 May 2026

Buberwa Kaiza doubts the Tanzania's Criminal Commission on October 29, 2025 Massacre ! Raises Mixed Questions - Gives advice


View: https://m.youtube.com/watch?v=3vLqyf-WxwI
 
Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.


Picha hii imeboreshwa na AI

Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Tume hiyo inalenga kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ili kuchukua hatua stahiki na kuimarisha usalama wa taifa, huku Jaji Lila akisaidiana na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Gad John Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir na Aishieli Nelson Sumari.

====

TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI WA MATUKIO YA GHASIA YA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025

Katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 na kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Aidha, Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume na wafuatao wameteuliwa kuwa Makamishna wa Tume hiyo:-

(i) Mhe. Gad John Mjemmas - Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania;
(ii) Mhe. Awadh Mohamed Bawazir Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania; na
(iii) Mhe. Aishieli Nelson Sumari Tanzania. Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Ametusaidia kuonyesha tulivyo na MAJAJI wengi wa hovyo kwenye muhimili wa mahakama
 
Kupotosha ni lugha ya kiungwana,ningesema umeongopa kwa umri ningekua nimekukosea adabu
Mi kidume,jando nikikatwa govi kwa kisu bila ganzi
Hamna kidume wa hivyo acha kudhalilisha vidume
Hoja zako pia zinaonyesha wewe sio kidume
 
Sisi waandishi tunajuana, wako waandishi maripota, kazi yao ni kutumwa na kuripoti, tupo waandishi wa analysis, ambao tumegawanyika makundi mawili
1. kuna waandishi wenzetu ni machawa, ambao wanauliza maswali mepesi mepesi
2. Kuna waandishi ni ma critical, tunauliza maswali magumu, viongozi hawapendi maswali magumu, hivyo kwenye baadhi ya events, sisi ma critical hatualikwi!.
P
nimekusoma, mitandao imetukutanisha kirahisi, nilikusikiliza nikasema ndio huyo Pascal Mayalla ambaye nasoma artical zake jf.
 
Rais Samia Suluhu amemteua Jaji wa Mahakama ya Rufani, Shabani Ally Lila, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya ghasia ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.


Picha hii imeboreshwa na AI

Soma Pia: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025

Tume hiyo inalenga kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani ili kuchukua hatua stahiki na kuimarisha usalama wa taifa, huku Jaji Lila akisaidiana na Majaji Wastaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Gad John Mjemmas, Awadh Mohamed Bawazir na Aishieli Nelson Sumari.

====

TUME YA UCHUNGUZI WA KIJINAI WA MATUKIO YA GHASIA YA WAKATI NA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025

Katika kutekeleza mapendekezo ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025 na kwa kuzingatia mamlaka aliyonayo chini ya Sheria ya Tume za Uchunguzi, Sura ya 32, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameunda Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025.

Aidha, Mhe. Shabani Ally Lila, Jaji wa Mahakama ya Rufani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameteuliwa kuwa Kamishna na Mwenyekiti wa Tume na wafuatao wameteuliwa kuwa Makamishna wa Tume hiyo:-

(i) Mhe. Gad John Mjemmas - Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania;
(ii) Mhe. Awadh Mohamed Bawazir Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania; na
(iii) Mhe. Aishieli Nelson Sumari Tanzania. Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ya Tanzania.


Kama Tume ya Chande ambayo ilikuwa ina watu wanaofahamika na ikakataliwa. Itakuwaje hii Tume ambayo hata watu wake hawafahamiki kabisa........!!?
 
Why Shaban Ally ? Tume ya Kwanza Athuman Chande? Anaogopa wagalatia watachomoa betri?
 
Kuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
Nop,hii ni ya kuwaweka kizimbani wahamasishaji kina Maria Sarungi Et al.
 
🤣 🤣 🤣 Hata mimi nimecheka, Sasa wanataka kusema Bunduki huwa zinamilikiwa na nani kama sio Rais
Watu weusi kiujumla sio binadamu kamili Samia kwa kilichotokea October 29 alitakiwa kua jela
 
Nop,hii ni ya kuwaweka kizimbani wahamasishaji kina Maria Sarungi Et al.
Yes I see it coming, they'll trial them in absentials , hivyo Nairobi is not a safe heaven for them anymore, once found guilty, extradition process will start, EAC countries zina extradition treaty.

P
 
Kuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
hili jambo ni zito kama litachukuliwa kiuzito litaondoka na wengi hata baadh ya wakuu wa mikoa.
 
Rais Samia aunda Tume Maalum ya Jinai Kuchunguza Ghasia za Uchaguzi.

Rais Samia Suluhu Hassan ameunda rasmi tume maalum ya uchunguzi wa makosa ya jinai kwa ajili ya kuwabaini na kuwashtaki waliohusika na vurugu zilizotokea baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025.

Uteuzi wa jopo hilo la watu watatu ulitangazwa katika notisi kwa umma iliyotolewa na Katibu Mkuu Moses M. Kusiluka Mei 18, 2026. Tume hiyo itaongozwa na Jaji Shabani Ally Lila wa Mahakama ya Rufani.


 
Sasa hii ndio yenye uwezo wa ku incriminate watu ili hatua stahiki zichukuliwe.

Ile ya Chande ilikuwa fact finding tu.
 
Hayakuwa maandamo bali jaribio la mapinduzi na uhalifu
Msijifiche kwenye aliyetoa oda,anzeni mazoezi ya kujichomeka matango,segerea hii hapa,mkapate amoeba
Mapinduzi gani wakati hatukua na Rais wakati huo wa uchaguzi walikua wanaenda kupindua serikali ambayo haijachaguliwa bado?
 
Kuchunguza chanzo na kilichotokea
Hii ya pili ni Kuchunguza jinai kwa polisi walio ua watu kwa makosa,
Kwa lugha ya kiingereza
Tume ya kwanza ili inquiry ya Kuchunguza what happened
Hii ya pili ni Kuchunguza criminal liability
P
Halafu baada ya hapo ndio kutokee nini mzee mbona kama unataka kutuchefua na unajua wenzako bado tupo katika msiba wa kitaifa? Hivi hii dhihaka wewe inakufurahisha nini hadi unakuja kuleta utetezi as if hayo yanayoendelea ni kwa mujibu wa sheria na yana uhalali wa kisheria kufanyika?

Hebu tuache tuomboleze in peace bro, at least have sympathy for the ones who lost their loved ones and have respect for the dead mkuu.

Wewe MUNGU alikunusuru na madhira ya shetani na ,akakupa second chance in life kwa kukupa pumzi ili ulitukuze jina lake na kusimama ndani ya utukufu wake.

Unachokifanya ni chukizo kwa MUNGU na nikwambie tu hii si sawa, unachofanya ni kejeli kwa wafiwa na raia wote wenye maumivu, unadhihaki na kutusi wapenda haki na amani ya kweli lakini mbaya zaidi umechagua kushirikiana na shetani muovu katika kutetea uovu wake.

Leo nitakuonya kwa mara ya kwanza usipoacha hii tabia ya mzaha na dharau nakuhakikishia mbingu zitatuma malaika wa adabu atatekeleza adhabu yake juu yako, mbingu zitakuadhibu nakwambia. Acha hii dhihaka. Wewe ni mteule wa mwenyezi MUNGU,ishi kwa kusimamia haki na kutetea watu wema.

Ukiendelea kujitoa ufahamu adhabu juu yako itatetendeka kama unabisha then endelea na hizi kejeli, dharau na mzaha.

NIMEKUONYA USIJE KUSEMA HAUKUONYWA.
 
Back
Top Bottom