Ni kweliKuna tatizo linakuja huko mbele. mama hteui mwenyewe, analetewa bila yeye mwenyewe kufabya scrutiny!
✊Mataragio ni wa JK.
Sasa hao waliomtoa jana ndio hao hao majizi. Ndio wa kuwnza nao.
[emoji3][emoji3]nimeona kwa CV ya Huyo mteuliwa aliyetumbuliwa, huyo aliyemchomeka huyo kijana afukuzwe kazi alifanya makusudi kabisa.Kiko wapi hiko chuo
Hakuna haja ya kucremisha wasifu wa mtu unaemjua vizuriWanao cremishaga ma vitu mengi kichwani wengi huwa wana matatizo ya akili wewe na huwa wako chini ya kumeza madawa oooh
Mkuu muda sana sikuoni humu. Sikuhizi haupo active kama zamani.Kasikiliza kilio cha wananchi huo ndiyo uongozi makini.
Hapo kweli Mh raisi kaonyesha ukomavu,nilipigwa na butwaa kumuondoa huyu Dr Mataragio, inaonekana kuna watu wasio na nia njema wanamshauri vibaya Mh raisi, lakini nae mh raisi yupo madarakani muda mrefu naamini anajua karibu kila kitu kwenye nchi hii ,washauri waache kumlisha matango mh raisi, Hata pale TRA kuna kasoro kwani yule Kamishna aliyeondolewa si alikuwa anafuata maagizo ya viongozi wakuu,kosa lake lipi?
FaizaFoxyHata hiyo team inayomshauri ,mama aiangalie vizuri , kuna uwezekano wanamhujumu aingie chaka.
Ila nimependa anavyorespond kwa haraka na kuna uwezekano Mam tupo naye sana humu Jf
Hakika mkuuKuna tatizo linakuja huko mbele. mama hteui mwenyewe, analetewa bila yeye mwenyewe kufabya scrutiny!
JPM aliikataa gas ya JK ,akaenda kuanzishwa bwawa la nyerere kuzalishia umeme, njia pelee ya kuanza kuitumia gas ya JK ni JK amwingize Dr James mataragio TPDC, na ndicho kilichotokea jana.Aliteuliwa na JK enzi ya ombeni sefue kuwa DG wa TPDC, na walimtoa marekani alikuwa anafanyia kazi
Nakuunga mkono hoja yako.Acha kumwita dhaifu kisa teuzi aisee, eti hauko tayari, kweli jamii yetu ina Perception mbaya kwa wanawake mbona hata magufuli aliingia Chaka na kurekebisha. Makosa ni sehemu ya ubinadamu ndio maana yanarekebishika
Kwa hakika mitandao ya Kijamii kama JF,Twitter inasaidia sana. Watu walihoji sana kama mteuliwa anakidhi vigezo vya kuweza kuhimili mambo makubwa. Anatakiwa aanzie kwenye grassroot apande vyeo mpaka awe Senior. Nani alipendekeza jina lile hatujui.
Watu hawana jema aisee, mama Tena ni proactive alibadilisha watu if hao vijana walichomeka jina kusudiwaajabu hao jamaa wamezoea takwimu za kupikwa na bla bla nyingi..... Mama is the best na anajitahidi kuwa fair na kuendesha office katika njia sahihi, akisema ateue watu anaowajua wataanza sema oooh anapendelea watu wake.
[emoji3][emoji3]nimeona kwa CV ya Huyo mteuliwa aliyetumbuliwa, huyo aliyemchomeka huyo kijana afukuzwe kazi alifanya makusudi kabisa.
Mfumo dumo upo kuna watu wanamchukia kwa vile tu ya Jinsia! Inasikitisha kwa kweli yaani akikosea asirekebishe sio?Acha kumwita dhaifu kisa teuzi aisee, eti hauko tayari, kweli jamii yetu ina Perception mbaya kwa wanawake mbona hata magufuli aliingia Chaka na kurekebisha. Makosa ni sehemu ya ubinadamu ndio maana yanarekebishika
Uko sahihi, uteuzi ulioudhi kutenguliwa mara moja baada ya malalamiko ni ushindi kwa nchi.Rais anafanya kazi na watu, anaweza kupokea na kudai taarifa muhimu kabla ya kufanya maamuzi ila hapa naona kabisa Kuna watu wanaenda kuwajibishwa na kutenguliwa kwa hili
Mimi nimeona Rais Samia Suluhu Hassan yuko makini kwa kufanya utenguzi huu mara moja
Umeona eeehHakuna haja ya kucremisha wasifu wa mtu unaemjua vizuri