Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Kipindi hii ya marehemu Jiwe ilikuwa hakuna kitu kama hiko!!
Mijitu ya CCM iliyoshindwa kwene kura za maoni au kushindwa Ubunge ndo ilikuwa inateuliwa kujaza nafasi za Wakurugenzi wa Mashirika ya umma! Hakuna cha Interview wala nini!!!
 
..Magufuli alikuwa anaingilia hizi process na madhara yake tumekuja kuyaona kwa Mama Samia Hassan.
 
Kweli kabisa ila kuna taasisi ukifanya head hunting unajifunga kupata watendaji wazuri. Mfano kama tungekuwa tuna tunafuata utaratibu utashangaa vichwa vizuri sana vipo maeneo mbali mbali ila hawafahamiki.

Kwa mfano kuna watanzania wengi wenye ujuzi sawa na Dr. James Mataragio wanafanya kazi Equinor, Shell wapo nje ya nchi hawa ukitangaza nafasi utashangaa walikuwa wapi mbona hatukuwaona.
 
..Magufuli alikuwa anaingilia hizi process na madhara yake tumekuja kuyaona kwa Mama Samia Hassan.
Marehemu Magufuli a.k.a Jiwe or Mwamba alikuwa amejimilikisha kila kitu!!
Yeye alikuwa kila kitu kuanzia Urais, Umakamu Rais, Waziri Mkuu, Waziri Fedha, IGP, Bunge na Mahakama.....!!
Briefly there's NO RULE OF LAW.....!!!
 
Mungu atusaidie wanawake tuwe na roho nzuri na sio ya kukomoana na ushetani usio na kichwa wala miguu
 
Kipindi hii ya marehemu Jiwe ilikuwa hakuna kitu kama hiko!!
Mijitu ya CCM iliyoshindwa kwene kura za maoni au kushindwa Ubunge ndo ilikuwa inateuliwa kujaza nafasi za Wakurugenzi wa Mashirika ya umma! Hakuna cha Interview wala nini!!!
Hapa umenikumbusha TTCL pia alipewa kada wa chama. Professional background yake ilikuwa banking kama sikosei.
 
Ukiona hivyo wala usihangaike jua tu ni wivu wa kwanini yeye mwanamke
mwenzangu kapata mi sijapata?
 
Utawala wa Jiwe umepoteza nguvu kazi kubwa sana ya Watz ambao hawakutaka kufanya kazi chini ya Dikteta. A person is hired today and tomorrow you're fired bila taratibu zozote za Ajira.....!!!!Nani atapenda kufanya kazi kwenye mazingira kama hayo?? There was no job security!
That's a serious and grave mistake the Late Makufuli(R.I.P) did...!!!
 
umeharibu hapo ulipomtaja jafo, huyu hamna kitu kichwani anabebwa na kujipendekeza tu...ni mwepesi kama unyoya wa kuku!
huyu ni sawa kabisa na jenista mhagama
 
Hapa umenikumbusha TTCL pia alipewa kada wa chama. Professional background yake ilikuwa banking kama sikosei.
Hata mie nimewahi sikia hizo nyeti. He was just a merely BANK CLERK from one of Foreign banks!!!Nothing like Professionalism in Telecommunication industries or ICT Technologies. TTCL is totally crippled!!!
 
Mkuu naona kila mtu analaumu vetting system, wakati huo huo hao viongozi wanaosimamia hizo taasisi wenyewe wanaingia madarakani kwa wizi wa kura. Kama ule uchaguzi mkuu uliofanyika juzi, ni nani hakuona ule uhuni uliofanyika wa kunajisi box la kura? Katika mazingira hayo ya watu kuingia madarakani kwa kunajisi chaguzi, hizo vetting system bora zitatoka wapi?
 
Mungu atusaidie wanawake tuwe na roho nzuri na sio ya kukomoana na ushetani usio na kichwa wala miguu
Cariha,
Ushauri wangu kwako ombea sana Ikulu ya mama Sameer na hao wanawake wenzio wenye roho mbaya na wivu wa kike.....otherwise yajayo yanasikitisha!!!
 
Hao wote uliowataja ni wezi wa kura, unategemea ubora upi toka kwao? Huyo Kenyatta alimpa huyo mama huo ushauri kinafiki maana ilikuwa ni msibani, lakini wakati wa uhai wa Magufuli bado hatukuwa na uhusiano mzuri wa kibiashara sisi na Kenya, mpaka Kenyatta aone hiyo road map ya Magufuli ilikuwa na jipya.
 
That's a very important and talking Point....!!!
Kudo's.
 
Kipindi hii ya marehemu Jiwe ilikuwa hakuna kitu kama hiko!!
Mijitu ya CCM iliyoshindwa kwene kura za maoni au kushindwa Ubunge ndo ilikuwa inateuliwa kujaza nafasi za Wakurugenzi wa Mashirika ya umma! Hakuna cha Interview wala nini!!!
Huyu mtetezi wa wanyonge kaharibu sana hii nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kweli kuna aliyetaka kumharibia mama wa watu kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…