Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Njema asee Mungu ni mwemaSalaam mkuu.
Za kwako???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njema asee Mungu ni mwemaSalaam mkuu.
Za kwako???
Kuna Mitz mipuuzi sana hasa kutoka pande za Lumumba ni shidaaaaa,,,,!!!!Teua wewe basi usie na matatizo.
Yaani mijitu ina expectations zao halafu zisipokuwa met mnaanza ujuaji.
Muacheni mama afanye kazi
Kipindi hii ya marehemu Jiwe ilikuwa hakuna kitu kama hiko!!Utaratibu hata hapa upo hivyo ni taasisi chache sana Rais huteua moja kwa moja. Mara nyingi huwa anapelekewa majina matatu baada ya usaili kufanyika.
Miaka kama mitatu au minne nyuma Bandari, EWURA na FCC walitangaza nafasi za wakurugenzi wakuu watu walituma maombi kwa makatibu wakuu. Ila baadae pia ghafla wakateuliwa watu moja kwa moja nakumbuka FCC palikuwa karibu na barua 34 za watu na Prof. Adolf Mkenda ndio alikuwa katibu wa wizara ya viwanda na biashara.
Ningeshangaa sana utawala umebadilika tena wa mwanamke, na ni wa dini ya Mungu kisha usitokee!Uliutaka utawala wa ukiritimba?
Hapa umeongea mchakato halisi unavyofanyika. Tena zoezi hili husimamiwa na katibu mkuu wa wizara husika akishirikiana na bodi ya taasisi husika.
Kuna kipindi nafasi ya DG bandari, EWURA na FCC zilitangazwa miaka kama mitatu au minne nyuma na ulipaswa utume maombi kwa makatibu wakuu husika. Ila baadae ghafla pia wakateuliwa watu moja kwa moja.
Kweli kabisa ila kuna taasisi ukifanya head hunting unajifunga kupata watendaji wazuri. Mfano kama tungekuwa tuna tunafuata utaratibu utashangaa vichwa vizuri sana vipo maeneo mbali mbali ila hawafahamiki.Awamu ya 5 ilikuwa na namna yake ya kupata Wakuu wa Taasisi. Nayo ni direct appointment na mwendo wa Head Hunting.
Kama recruitment ingefanywa kama ilivyokuwa inatakiwa, 'Wasukuma Gang' wasingeweza kujazwa kwenye posts nono nono.
Pia suala la ajira awamu 5 lilikuwa ni internal zaidi. Kwa maana ni watumishi wa umma pekee ndio walipata fursa ya kuwa promoted na kuteuliwa. Hivyo Mamlaka za Uteuzi hazikuona sababu ya kufuata mtiririko mrefu wa usahili.
Marehemu Magufuli a.k.a Jiwe or Mwamba alikuwa amejimilikisha kila kitu!!..Magufuli alikuwa anaingilia hizi process na madhara yake tumekuja kuyaona kwa Mama Samia Hassan.
Mungu atusaidie wanawake tuwe na roho nzuri na sio ya kukomoana na ushetani usio na kichwa wala miguuKama wewe ni msomaji wa Biblia fuatilia habari za hawa wanawake 3 tu utaona shida ya mwanamke imetokea mbali sana:
Mahali fulani inasema kaeni na wanawake kwa akili maana ni viumbe dhaifu although most of them are good mothers.
- Hawa au Eva......mke wa Adamu.
- Sarai au Sara......mke wa Ibrahimu.
- Miriam................dada wa Mussa.
1 Pet 3:7 Kadhalika ninyi waume, kaeni na wake zenu kwa akili; na kumpa mke heshima, kama chombo kisicho na nguvu; na kama warithi pamoja wa neema ya uzima, kusudi kuomba ...
Hapa umenikumbusha TTCL pia alipewa kada wa chama. Professional background yake ilikuwa banking kama sikosei.Kipindi hii ya marehemu Jiwe ilikuwa hakuna kitu kama hiko!!
Mijitu ya CCM iliyoshindwa kwene kura za maoni au kushindwa Ubunge ndo ilikuwa inateuliwa kujaza nafasi za Wakurugenzi wa Mashirika ya umma! Hakuna cha Interview wala nini!!!
mwenzangu kapata mi sijapata?Halafu we ni mwanamke! Hivi wanawake tumelaaniwa kwa roho mbaya? Toka huyu mama ameapishwa kuwa Rais, hakuna mwanaume hata mmoja alishawahi toa comment kama hii yako yenye maneno makali hivi[emoji57][emoji57] narudia hakuna...lakini wewe uko hapa kumdissapoint mwanamke mwenzako
Shame on you, mav.i kabisa!
Utawala wa Jiwe umepoteza nguvu kazi kubwa sana ya Watz ambao hawakutaka kufanya kazi chini ya Dikteta. A person is hired today and tomorrow you're fired bila taratibu zozote za Ajira.....!!!!Nani atapenda kufanya kazi kwenye mazingira kama hayo?? There was no job security!Kweli kabisa ila kuna taasisi ukifanya head hunting unajifunga kupata watendaji wazuri. Mfano kama tungekuwa tuna tunafuata utaratibu utashangaa vichwa vizuri sana vipo maeneo mbali mbali ila hawafahamiki.
Kwa mfano kuna watanzania wengi wenye ujuzi sawa na Dr. James Mataragio wanafanya kazi Equinor, Shell wapo nje ya nchi hawa ukitangaza nafasi utashangaa walikuwa wapi mbona hatukuwaona.
umeharibu hapo ulipomtaja jafo, huyu hamna kitu kichwani anabebwa na kujipendekeza tu...ni mwepesi kama unyoya wa kuku!Mama amezungukwa na mafisadi, walitaka kumuingiza mkenge; thanks to JF ndio iliyomuamsha.
Local largest trading partner wa Tanzania ni Kenya, raisi wao alimpa ushauri wa bure hadharani; stick to Magufuli road map mama aache kuleta ubunifu wake.
Asikilize tena na ushauri wa JF akae karibu na Jaffo, Majaliwa, Biteko na Dr Mpango; hao ndio wanaweza mwambia what would Magufuli do.
Hata mie nimewahi sikia hizo nyeti. He was just a merely BANK CLERK from one of Foreign banks!!!Nothing like Professionalism in Telecommunication industries or ICT Technologies. TTCL is totally crippled!!!Hapa umenikumbusha TTCL pia alipewa kada wa chama. Professional background yake ilikuwa banking kama sikosei.
Rais hawezi kuwafahamu wateuliwa wote,wala si lazima awafahamu. Tatizo la nchi hii kwa Muda sasa ni Mifumo.
Tumehama kwenye misingi sasa kila mtu,taasisi,waliopewa dhamana wanafanya kwa maslahi binafsi, ya kikundi kwa upendeleo maalum pasi kuzingatia misingi yenye tija kwa Taifa.
Ndio maana JPM kila kukicha alikua anatumbua. Ndio maana inawezekana JPM pia aliamua kuwateua wengi aliowafahamu moja kwa moja hususan aliofanya nao kazi maeneo mbalimbali.... Kwa ufupi Veting system imeparalaizi..... Turudi katika misingi.
Cariha,Mungu atusaidie wanawake tuwe na roho nzuri na sio ya kukomoana na ushetani usio na kichwa wala miguu
Hao wote uliowataja ni wezi wa kura, unategemea ubora upi toka kwao? Huyo Kenyatta alimpa huyo mama huo ushauri kinafiki maana ilikuwa ni msibani, lakini wakati wa uhai wa Magufuli bado hatukuwa na uhusiano mzuri wa kibiashara sisi na Kenya, mpaka Kenyatta aone hiyo road map ya Magufuli ilikuwa na jipya.Mama amezungukwa na mafisadi, walitaka kumuingiza mkenge; thanks to JF ndio iliyomuamsha.
Local largest trading partner wa Tanzania ni Kenya, raisi wao alimpa ushauri wa bure hadharani; stick to Magufuli road map mama aache kuleta ubunifu wake.
Asikilize tena na ushauri wa JF akae karibu na Jaffo, Majaliwa, Biteko na Dr Mpango; hao ndio wanaweza mwambia what would Magufuli do.
That's a very important and talking Point....!!!Mkuu naona kila mtu analaumu vetting system, wakati huo huo hao viongozi wanaosimamia hizo taasisi wenyewe wanaingia madarakani kwa wizi wa kura. Kama ule uchaguzi mkuu uliofanyika juzi, ni nani hakuona ule uhuni uliofanyika wa kunajisi box la kura? Katika mazingira hayo ya watu kuingia madarakani kwa kunajisi chaguzi, hizo vetting system bora zitatoka wapi?
Huyu mtetezi wa wanyonge kaharibu sana hii nchi.Kipindi hii ya marehemu Jiwe ilikuwa hakuna kitu kama hiko!!
Mijitu ya CCM iliyoshindwa kwene kura za maoni au kushindwa Ubunge ndo ilikuwa inateuliwa kujaza nafasi za Wakurugenzi wa Mashirika ya umma! Hakuna cha Interview wala nini!!!
Hiyo ilikuwa ni slogan tu ya danganya toto!!!