Rais Samia autengua uteuzi wa Mkurugenzi mpya wa TPDC. Amrejesha Mataragio

Mama keshafahamu analishwa matango pori, mama awe makini team inayomzunguka kuna watu wanapanga safu zao asipoangalia 2025 atajikuta nje...
Hajui kama watu wana tengeneza mitandao yao yakuiba
 
Lakini si anatakiwa jaman akafanye kikao na wafanyakazi cha kuwaaga au ndo hakanyagi kabisa [emoji1]
 

Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzake. Hongera Rosemarie kwa kuthibitisha hilo.

Mwanamke kiumbe dhaifu peke yako usiejiamini usijumuishe wote.

Nikupe mfano tu: Ellen Johnson Sirleaf, Mwele Malecela, Msuya wa UNEP...
 
Hapo kwa John Pombe Magufuli, he is not our hero, he is your hero!

Embu acha ukorofi mama D tujikite kwenye mada😎

Usijali huyo hero wangu niachie mimi na wengine

Nimeacha ukorofi kakaπŸ™ˆπŸ™ˆ

SSH amefanya maamuzi sahihi sana, wana kitengo watakua washawajibishwa hadi sasaπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
JF ina nguvu sana kwa sasa ni bora na sisi tujitahidi kutoa hoja zisizo na ukada na ushabiki kiasi tuweze kusaidia katika maamuzi ya nchi..kudos Mh Rais kwa kusikia hoja zetu
 
Hii kwangu inatosha kusema hatuna Rais hapa,ni mfano wa rais tu. Unawezaje kuteua mtu wa shirika nyeti kama lile bila kufanya vetting ambayo hata mteuzi mwenyewe lazima asome ripoti na cv pembeni.
Tatizo ana haraka sana kuifumua serikali kama hakuwa Makamu wa Rais....Au anatuaminisha kuwa alipokuwa anasema wanashirikishana kwenye Teuzi wakati wa JPM haikuwa KWELI.
 
uko sawa mkuu. huyu tumebahatika kumjua. inaweza kuwa kuna zero nyingine zingine hatujui
 
Hakuna tatizo hapo so long alikuwa hajaapa, hizo zote ni mbinu za kupata watu sahihi kwa kupata public opinion, ameteua watu zaidi ya 40 lakini mmoja tu ndiyo kalalamikiwa objectively so uteuzi ni 98%correct.Piga kazi mama yetu
Wrong approach...
 
Wa awali namuunga mkono hapo ila mama anaonyesha udhaifu sasa. Atulie, alipelekewa teuzi asikimbilie kisaini ajipe muda kidogo kuzipitia hata wiki..
Samia sawa na makocha wa simba na yanga,, yeye ana letewa watu tu
 
Hawezi kufanya uchambuzi wa watu wote wanaokuja mezani kwake.Badala ya kutaka yeye afanye uchambuzi ni bora raia watake mabadiliko ya kupatikana kwa viongozi katika utumishi wa umma.Rais abaki kuteua mabalozi, mawaziri, wakuu wa vyombo vya usalama, majaji(watakaopendekezwa na TLS pamoja na mahakama).
hata Kigogo kasema huyu alikuwa DSO , kada wa CCM sasa haya mambo ta TPDC wapi nawapi? Samia analetwa mezani bila yeye kufanya personal scrutiny... kuna hatari mbele iakuja.. tena kubwa
 
Hapo TPDC kuna vita kali dhidi ya Mataragio.Lakin Mungu yupo nae.
 
Rais anasaini hivyo licha ya kupitia kama timu yeye pia lazima ajiridhishe, wakiboronga sio mzigo wa hiyo timu bali ni zigo lake.
Kwenye maisha hutokea kupitiwa hata uwe makini kiasi gani aisee, hamna Yesu useme kitu kitakuwa perfect
 
Just Imagine Mapomole kama hawa tupo nao na wanajua kusoma na kuandika vizuri tuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hapa kimeumwa sio kuumana tena[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…