Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wakati anampanga Kafulila Arusha alikuwa hajui kama ndiyo mgeni? mbona Makonda alianzia Dar?Raisi afanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa Kafulila apelekwa SImiyu na Mongela apelekwa Arusha
Amefanya mabadiliko leo alipokuwa akiwaapisha wakuu wa mikoa
Maana yake taasisi ya rais iko kivingine, makosa haya yamekuwa ya kawaida sana kwa sasa. JPM mtamkumbuka hata kama hampendiMmama kwa hili la kuteau sijui huwaa anafanya mwenyewe au vipi maana kwenye teuzi nyingi amekuwa akibadilisha wakati tayari matangazo yashatoka au anateua kwa akili zake alafu wajuaji wanaanza kumpanga upyaa???? kwa hili anafaa kubadilika maana haileti taswira nzuri yani kuna kukosea kwingi sana. Tunampenda sana mama yetu,.
Mtoe Kihongosi hapo kwenye hiyo orodha hakika ni mtumishi wa wote .Kafulila,Gambo na Kihongosi wote wana tabia zinazofanana (mbaya) watakaaje sehemu moja
Mbona Makonda alianzia Dar na hakuwa na uzoefu?Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Kuna margin of errors in leadershipMama anajitahidi sana kuwaamisha wapinzani wake yw kwamba hicho kiti alicho kikalia kimemzidi nguvu! Haiwezekani haya mambo yaendelee kujirudia!
Alijichanganya kwa yule Dogo wa Uvccm kule TPDC! Na leo anajichanganya tena kwa Kafulila.
Tell themHajielewi wapi? mbona povu for petty things? kuteua na kutengua kuhamisha ni mamlaka yake.
Kwanza kitendo tu cha kutoa uhuru wa watu kumkosoa pekee yake,ni jambo la kushukuru bila ya uhuru huo watu wangethubutu kumlaumu?Kwani mwenye mamlaka ya hizo teuzi si ni yeye Raisi Samia!??
Sasa ulitaka kumpangia muda wa kuteua, kuhamisha na kutengua!???
Sometime muwe mnatumia common sense ktk kujudge mambo
Kwamba mama hawezi ongoza auKazi ya JK
Samia hamna kitu 2025 akajipake hina tu, pamoja na kuchukua muda wote huo bado anafanya makosa tu, sijawahi ona hii kitu kabla.
Ukishakuwa Kiongozi, huna budi kuwa smart na mambo yako, na pia kuongeza umakini kwenye kila jambo unalo lifanya!Kuna margin of errors in leadership
Acha kujisahaulisha kwa mwendazake mbona ilishawahi tokea Mara nyingi tu, na yeye kiti kilimshinda!?Mama anajitahidi sana kuwaamisha wapinzani wake yw kwamba hicho kiti alicho kikalia kimemzidi nguvu! Haiwezekani haya mambo yaendelee kujirudia!
Alijichanganya kwa yule Dogo wa Uvccm kule TPDC! Na leo anajichanganya tena kwa Kafulila.
Iringa na Arusha ni mikoa ya kimkakati.. kwa sasa hivyo inabidi kuiangalia kwa jicho la tatu..Seniority imeua sana our economy. Business as usual. We need visionary leaders and managers irrespective of sex, religion, age, and "utumbili" wao.
Mmama kwa hili la kuteau sijui huwaa anafanya mwenyewe au vipi maana kwenye teuzi nyingi amekuwa akibadilisha wakati tayari matangazo yashatoka au anateua kwa akili zake alafu wajuaji wanaanza kumpanga upyaa???? kwa hili anafaa kubadilika maana haileti taswira nzuri yani kuna kukosea kwingi sana. Tunampenda sana mama yetu,.
Kwamba nyakati za mwendazake haukuwahi katika au ndo mambo ya skmG at its bestTope la Tanesco hatajitoa, msimu wa wauza majenereta huu na umeme wa dharura.
Mbona Magu alimtumbua Waziri kwa kushikwa kigugumizi wakati wa kuapa!Mama anajitahidi sana kuwaamisha wapinzani wake yw kwamba hicho kiti alicho kikalia kimemzidi nguvu! Haiwezekani haya mambo yaendelee kujirudia!
Alijichanganya kwa yule Dogo wa Uvccm kule TPDC! Na leo anajichanganya tena kwa Kafulila.
Iringa aliyeteuliwa mkuu wa mkoa alipaswa apimwe kwa level ya Wilaya kwanza.Rais SSH alijikwaa kidogo kwenye uteuzi Arusha.. alipaswa kumweka Mkuu wa Mkoa Mwandamizi, na ndivyo alivyorekebisha.. Bado Iringa..
Kafulila anaubunifu gani? Alikuwa Ras Songwe, alivyoondoka wakafurahi maana alikuwa miyeyusho tu.Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Alichokifanya Samia kwa Mongella na Kafulila ndicho alichowahi kukifanya Magufuli kwa Christina Mdeme na Binilith Mahenge. Hivyo hili sio Jambo jipya kufanyikaSamia hamna kitu 2025 akajipake hina tu, pamoja na kuchukua muda wote huo bado anafanya makosa tu, sijawahi ona hii kitu kabla.