Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

Mmama kwa hili la kuteau sijui huwaa anafanya mwenyewe au vipi maana kwenye teuzi nyingi amekuwa akibadilisha wakati tayari matangazo yashatoka au anateua kwa akili zake alafu wajuaji wanaanza kumpanga upyaa???? kwa hili anafaa kubadilika maana haileti taswira nzuri yani kuna kukosea kwingi sana. Tunampenda sana mama yetu,.
Maana yake taasisi ya rais iko kivingine, makosa haya yamekuwa ya kawaida sana kwa sasa. JPM mtamkumbuka hata kama hampendi
 
Mungu ibariki Tanzania.
FB_IMG_1621351172921.jpg
 
Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Mbona Makonda alianzia Dar na hakuwa na uzoefu?
 
Mama anajitahidi sana kuwaamisha wapinzani wake yw kwamba hicho kiti alicho kikalia kimemzidi nguvu! Haiwezekani haya mambo yaendelee kujirudia!

Alijichanganya kwa yule Dogo wa Uvccm kule TPDC! Na leo anajichanganya tena kwa Kafulila.
Kuna margin of errors in leadership
 
Kwani mwenye mamlaka ya hizo teuzi si ni yeye Raisi Samia!??

Sasa ulitaka kumpangia muda wa kuteua, kuhamisha na kutengua!???

Sometime muwe mnatumia common sense ktk kujudge mambo
Kwanza kitendo tu cha kutoa uhuru wa watu kumkosoa pekee yake,ni jambo la kushukuru bila ya uhuru huo watu wangethubutu kumlaumu?
 
Samia hamna kitu 2025 akajipake hina tu, pamoja na kuchukua muda wote huo bado anafanya makosa tu, sijawahi ona hii kitu kabla.

Mama yuko internship Jaman tumsamehe tu [emoji16]
 
Kuna margin of errors in leadership
Ukishakuwa Kiongozi, huna budi kuwa smart na mambo yako, na pia kuongeza umakini kwenye kila jambo unalo lifanya!

Kurudia makosa yale yale mara kwa mara, siyo dalili nzuri kwa kiongozi bora.
 
Mama anajitahidi sana kuwaamisha wapinzani wake yw kwamba hicho kiti alicho kikalia kimemzidi nguvu! Haiwezekani haya mambo yaendelee kujirudia!

Alijichanganya kwa yule Dogo wa Uvccm kule TPDC! Na leo anajichanganya tena kwa Kafulila.
Acha kujisahaulisha kwa mwendazake mbona ilishawahi tokea Mara nyingi tu, na yeye kiti kilimshinda!?
 
Seniority imeua sana our economy. Business as usual. We need visionary leaders and managers irrespective of sex, religion, age, and "utumbili" wao.
Iringa na Arusha ni mikoa ya kimkakati.. kwa sasa hivyo inabidi kuiangalia kwa jicho la tatu..
 
Mmama kwa hili la kuteau sijui huwaa anafanya mwenyewe au vipi maana kwenye teuzi nyingi amekuwa akibadilisha wakati tayari matangazo yashatoka au anateua kwa akili zake alafu wajuaji wanaanza kumpanga upyaa???? kwa hili anafaa kubadilika maana haileti taswira nzuri yani kuna kukosea kwingi sana. Tunampenda sana mama yetu,.

Mama yuko field Jaman , mwanzo mgumu atazoea tu
 
Mama anajitahidi sana kuwaamisha wapinzani wake yw kwamba hicho kiti alicho kikalia kimemzidi nguvu! Haiwezekani haya mambo yaendelee kujirudia!

Alijichanganya kwa yule Dogo wa Uvccm kule TPDC! Na leo anajichanganya tena kwa Kafulila.
Mbona Magu alimtumbua Waziri kwa kushikwa kigugumizi wakati wa kuapa!
 
Rais SSH alijikwaa kidogo kwenye uteuzi Arusha.. alipaswa kumweka Mkuu wa Mkoa Mwandamizi, na ndivyo alivyorekebisha.. Bado Iringa..
Iringa aliyeteuliwa mkuu wa mkoa alipaswa apimwe kwa level ya Wilaya kwanza.
 
Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu). Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Kafulila anaubunifu gani? Alikuwa Ras Songwe, alivyoondoka wakafurahi maana alikuwa miyeyusho tu.
 
Back
Top Bottom