Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

Sababu ya mabadiliko na kwann umembadilisha kiukweli mie ndo simkubali hapo tuu
 
kuna kitu nyuma ya Pazia, Kafulila mwisho wake utakuwa mbaya sana
 
Hapo kwa Mongella kwa kweli ni sawa kabisa.
Huyu kiongozi kijana ni mtu mtaratib, hana mihemuko, yuko composed na hana papara katika utendaji kazi.
Mongella ni hazina.
 
Mataqo yako,,kamfufue mzoga wenu muujaze upepo uje umalizie ingwe yake

Tunachoomba kwa mama asichukue Tabia yeyote ile ya magu isipokua ile ya ujasiri wa hali ya juu na kuwa na maamuzi na sauti kama kiongozi , awe jasiri sana na kuchukia uovu na kukemea uovu na sauti yake ile ile ya upole, Mama asiwe na Tabia ya kujipendekeza kwa watu , hakuna mtu anayempenda, ajifunze kwa yaliyotokea kwa magu. Mama asifanye mambo hili aonekane mwema sana au bora kuliko magu
 
To me, that magu was the worst president ever! Hivyo nisingependa na huyu Mama afananishwe naye!

Napenda aendelee kufanya mambo yake katika ubora mkubwa, na kujiepusha na makosa madogo madogo kama haya.
To me Magu was the best president ever....
afanye mambo kama Magu na pengine awe mkali zaidi yake.....
ili watu wanyooke
 
Luku haikuanza hivi sasa kuzungua,hata awamu zilizopita ilizungua.Hii ni kawaida,hata wewe mwili wako waweza kuzungua,mara kichwa chakuuma,mara homa,mara tumbo lauma,mara usingizi umekubana,mara njaa,nk.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Hata awamu zilizopita,wapo walioteulia na kitenguliwa siku ya kuapishwa,wengine kwenye kuapishwa,walitenguliwa hapo hapo,wanaapishwa.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…