TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Mataqo yako,,kamfufue mzoga wenu muujaze upepo uje umalizie ingwe yakeHajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mataqo yako,,kamfufue mzoga wenu muujaze upepo uje umalizie ingwe yakeHajielewi, hata kazi ya kuteua anashindwa, kila kitu anakurupuka tu.
Sababu ya mabadiliko na kwann umembadilisha kiukweli mie ndo simkubali hapo tuuKuna mabadiliko madogo nimefanya, Kafulila nilimteua kuwa RC Arusha na Mongella RC Simiyu, nimeamua Mongella kwasababu ulikuwa unaongoza Mkoa mkubwa basi ukawe RC Arusha na Kafulila kwasababu ndio anaanza alikuwa RAS basi akawe RC Simiyu” Rais Samia
Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi
Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki
Prof. Ibrahim Juma amesema, "DPP hawezi kuingiliwa na mtu yeyote, hata Jaji Mkuu hana mamlaka ya kuingilia kazi yake" Asema Mkurugenzi wa Mashtaka amepewa wajibu wa kuangalia maslahi ya Taifa
Rais Samia afanya Mabadiliko teuzi za Wakuu wa Mikoa Arusha na Simiyu
John Mongella aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
David Kafulila ambaye awali aliteuliwa kuwa RC Arusha atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
“Kuna mabadiliko madogo nimefanya, Kafulila nilimteua kuwa RC Arusha na Mongella RC Simiyu, nimeamua Mongella kwasababu ulikuwa unaongoza Mkoa mkubwa basi ukawe RC Arusha na Kafulila kwasababu ndio anaanza alikuwa RAS basi akawe RC Simiyu” Rais Samia
Yule jamaa wa msonga ndo anatuongozaUkijumlisha na uteuzi wa Papaa Amos Makalla, Mutu ya Watu! Mutu ya Pesa mingi kuwa RC wa Dar, unaona kabisa nyuma ya Mama, kuna yule jamaa wa Msoga!
Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi
Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki
Prof. Ibrahim Juma amesema, "DPP hawezi kuingiliwa na mtu yeyote, hata Jaji Mkuu hana mamlaka ya kuingilia kazi yake" Asema Mkurugenzi wa Mashtaka amepewa wajibu wa kuangalia maslahi ya Taifa
Rais Samia afanya Mabadiliko teuzi za Wakuu wa Mikoa Arusha na Simiyu
John Mongella aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha
David Kafulila ambaye awali aliteuliwa kuwa RC Arusha atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu
“Kuna mabadiliko madogo nimefanya, Kafulila nilimteua kuwa RC Arusha na Mongella RC Simiyu, nimeamua Mongella kwasababu ulikuwa unaongoza Mkoa mkubwa basi ukawe RC Arusha na Kafulila kwasababu ndio anaanza alikuwa RAS basi akawe RC Simiyu” Rais Samia
Mataqo yako,,kamfufue mzoga wenu muujaze upepo uje umalizie ingwe yake
Sio probation...Mama yuko internship Jaman tumsamehe tu [emoji16]
Kajipake hina wewe usiwe na uwezo wa kuteua na kutenguwa,Rais ana uwezo wa kuteua na kutenguwa.Samia hamna kitu 2025 akajipake hina tu, pamoja na kuchukua muda wote huo bado anafanya makosa tu, sijawahi ona hii kitu kabla.
Hapana!2014/2015 umeme umetutesa sana, Magu alivyoingia tu mgao kwisha, kuunganishiwa umeme ikawa husumbuki.
Ile hali naomba isijirudie aisee.
safi sana kwenye uteuzi wa wakuu wa mikoa, Kamanda wa Takukuru, wote walio apishwa leo uteuzi wao na uapisho wao umebarikiwa sana.
Mungu awabariki
To me Magu was the best president ever....To me, that magu was the worst president ever! Hivyo nisingependa na huyu Mama afananishwe naye!
Napenda aendelee kufanya mambo yake katika ubora mkubwa, na kujiepusha na makosa madogo madogo kama haya.
Pamoja na wewe,ukaangane,ucheze tarabu.Sio kupaka hina tu inabidi akaanzishe bendi ya taarabu pamoja na khadija kopa.
Aliyetoka ni kituko zaidiYetu macho , Tanzania toka izaliwe safari hii imepata raisi kituko[emoji23]
na Mungu muumba.Umebarikiwa na nani?
To me Magu was the best president ever....
Luku haikuanza hivi sasa kuzungua,hata awamu zilizopita ilizungua.Hii ni kawaida,hata wewe mwili wako waweza kuzungua,mara kichwa chakuuma,mara homa,mara tumbo lauma,mara usingizi umekubana,mara njaa,nk.Tumia akili kiongozi punguza chuki, mama kama alikuwa katuliza akili wakati wakuteua mbona tena kabadilisha uteuzi ina maana huyu mama yenu anakurupuka sana penye ukweli lazima tuseme alafu kamwambieni luku inazingua au anataka 10% ya mafuta na bidhaa za majenereta.
na Mungu muumba.
Hata awamu zilizopita,wapo walioteulia na kitenguliwa siku ya kuapishwa,wengine kwenye kuapishwa,walitenguliwa hapo hapo,wanaapishwa.Mmama kwa hili la kuteau sijui huwaa anafanya mwenyewe au vipi maana kwenye teuzi nyingi amekuwa akibadilisha wakati tayari matangazo yashatoka au anateua kwa akili zake alafu wajuaji wanaanza kumpanga upyaa???? kwa hili anafaa kubadilika maana haileti taswira nzuri yani kuna kukosea kwingi sana. Tunampenda sana mama yetu,.
Alianza mkuu wa wilaya ya kinondoni,Dar.Mbona Makonda alianzia Dar na hakuwa na uzoefu?