Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

Kuna mabadiliko madogo nimefanya, Kafulila nilimteua kuwa RC Arusha na Mongella RC Simiyu, nimeamua Mongella kwasababu ulikuwa unaongoza Mkoa mkubwa basi ukawe RC Arusha na Kafulila kwasababu ndio anaanza alikuwa RAS basi akawe RC Simiyu” Rais Samia
Sababu ya mabadiliko na kwann umembadilisha kiukweli mie ndo simkubali hapo tuu
 
Dkt. Mpango: Wakuu wa Mikoa wasiwe walevi na wazinzi
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Isdor Mpango, amewataka Wakuu wa Mikoa walioapishwa Mei 19, 2021 wafanye kazi kwa weledi Asema Kiongozi mzuri ni yule mwenye busara na bidii ya kazi

Jaji Mkuu: DPP ni chujio la kwanza la haki
Prof. Ibrahim Juma amesema, "DPP hawezi kuingiliwa na mtu yeyote, hata Jaji Mkuu hana mamlaka ya kuingilia kazi yake" Asema Mkurugenzi wa Mashtaka amepewa wajibu wa kuangalia maslahi ya Taifa

Rais Samia afanya Mabadiliko teuzi za Wakuu wa Mikoa Arusha na Simiyu
John Mongella aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha

David Kafulila ambaye awali aliteuliwa kuwa RC Arusha atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu

“Kuna mabadiliko madogo nimefanya, Kafulila nilimteua kuwa RC Arusha na Mongella RC Simiyu, nimeamua Mongella kwasababu ulikuwa unaongoza Mkoa mkubwa basi ukawe RC Arusha na Kafulila kwasababu ndio anaanza alikuwa RAS basi akawe RC Simiyu” Rais Samia

kuna kitu nyuma ya Pazia, Kafulila mwisho wake utakuwa mbaya sana
 
Hapo kwa Mongella kwa kweli ni sawa kabisa.
Huyu kiongozi kijana ni mtu mtaratib, hana mihemuko, yuko composed na hana papara katika utendaji kazi.
Mongella ni hazina.
 
Mataqo yako,,kamfufue mzoga wenu muujaze upepo uje umalizie ingwe yake

Tunachoomba kwa mama asichukue Tabia yeyote ile ya magu isipokua ile ya ujasiri wa hali ya juu na kuwa na maamuzi na sauti kama kiongozi , awe jasiri sana na kuchukia uovu na kukemea uovu na sauti yake ile ile ya upole, Mama asiwe na Tabia ya kujipendekeza kwa watu , hakuna mtu anayempenda, ajifunze kwa yaliyotokea kwa magu. Mama asifanye mambo hili aonekane mwema sana au bora kuliko magu
 
To me, that magu was the worst president ever! Hivyo nisingependa na huyu Mama afananishwe naye!

Napenda aendelee kufanya mambo yake katika ubora mkubwa, na kujiepusha na makosa madogo madogo kama haya.
To me Magu was the best president ever....
afanye mambo kama Magu na pengine awe mkali zaidi yake.....
ili watu wanyooke
 
Tumia akili kiongozi punguza chuki, mama kama alikuwa katuliza akili wakati wakuteua mbona tena kabadilisha uteuzi ina maana huyu mama yenu anakurupuka sana penye ukweli lazima tuseme alafu kamwambieni luku inazingua au anataka 10% ya mafuta na bidhaa za majenereta.
Luku haikuanza hivi sasa kuzungua,hata awamu zilizopita ilizungua.Hii ni kawaida,hata wewe mwili wako waweza kuzungua,mara kichwa chakuuma,mara homa,mara tumbo lauma,mara usingizi umekubana,mara njaa,nk.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Mmama kwa hili la kuteau sijui huwaa anafanya mwenyewe au vipi maana kwenye teuzi nyingi amekuwa akibadilisha wakati tayari matangazo yashatoka au anateua kwa akili zake alafu wajuaji wanaanza kumpanga upyaa???? kwa hili anafaa kubadilika maana haileti taswira nzuri yani kuna kukosea kwingi sana. Tunampenda sana mama yetu,.
Hata awamu zilizopita,wapo walioteulia na kitenguliwa siku ya kuapishwa,wengine kwenye kuapishwa,walitenguliwa hapo hapo,wanaapishwa.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom