warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Mbona Makonda alianzia Dar na hakuwa na uzoefu?
Yetu macho , Tanzania toka izaliwe safari hii imepata raisi kituko[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Makonda alianzia Dar na hakuwa na uzoefu?
Kuna margin of errors in leadership
Huwezi kuhalalisha makosa kwa sababu mwingine alikosea. Mama anatakiwa aongeze umakini kwenye mambo yake yote, ili aendelee kuonekana bora kuliko mtangulizi wake.Acha kujisahaulisha kwa mwendazake mbona ilishawahi tokea Mara nyingi tu, na yeye kiti kilimshinda!?
Kwanza kitendo tu cha kutoa uhuru wa watu kumkosoa pekee yake,ni jambo la kushukuru bila ya uhuru huo watu wangethubutu kumlaumu?
Kwamba mama hawezi ongoza au
nacheka sana mnavyojipa hope 2025. mna ubav wa kuiondoa ccm nyie?Samia hamna kitu 2025 akajipake hina tu, pamoja na kuchukua muda wote huo bado anafanya makosa tu, sijawahi ona hii kitu kabla.
Ukishakuwa Kiongozi, huna budi kuwa smart na mambo yako, na pia kuongeza umakini kwenye kila jambo unalo lifanya!
Kurudia makosa yale yale mara kwa mara, siyo dalili nzuri kwa kiongozi bora.
To me, that magu was the worst president ever! Hivyo nisingependa na huyu Mama afananishwe naye!Mbona Magu alimtumbua Waziri kwa kushikwa kigugumizi wakati wa kuapa!
kwa hiyo aliefanya makosa similar na haya hana shida. akifanya mama ni tatizo?Huwezi kuhalalisha makosa kwa sababu mwingine alikosea. Mama anatakiwa aongeze umakini kwenye mambo yake yote, ili aendelee kuonekana bora kuliko mtangulizi wake.
Huwezi kuhalalisha makosa kwa sababu mwingine alikosea. Mama anatakiwa aongeze umakini kwenye mambo yake yote, ili aendelee kuonekana bora kuliko mtangulizi wake.
Kwani wewe hujawahi kosea?Margin of errors kila siku?
Nyinyi watu wa ccm mbona ni wazito sana kwenye kuelewa! Ninachosema ni hiki, huyu Mama anatakiwa awe smart kwenye mambo yake!kwa hiyo aliefanya makosa similar na haya hana shida. akifanya mama ni tatizo?
is this how you think?
Kwamba nyakati za mwendazake haukuwahi katika au ndo mambo ya skmG at its best
To me, that magu was the worst president ever! Hivyo nisingependa na huyu Mama afananishwe naye!
Napenda aendelee kufanya mambo yake katika ubora mkubwa, na kujiepusha na makosa madogo madogo kama haya.
Ukijumlisha na uteuzi wa Papaa Amos Makalla, Mutu ya Watu! Mutu ya Pesa mingi kuwa RC wa Dar, unaona kabisa nyuma ya Mama, kuna yule jamaa wa Msoga!Sasa kumenyesha tumeona panapovuja
DPP hawezi kuingiliwa na mtu yeyote, hata Jaji Mkuu hana mamlaka ya kuingilia kazi yake"
Kwani wewe hujawahi kosea?
Kabisa mkuu! Utashangaa watakua na mwenendo Kama wa liSAa-liBAYA wasivyojielewa!Mlioteuliwa kapigeni kazi huku mkijua, nyinyi sio special mno, Ni mkono wa Mungu tu, katendeni haki