Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

Rais Samia awaapisha Wakuu wa Mikoa. Afanya mabadiliko madogo, Kafulila apelekwa Simiyu, Mongella aletwa Arusha

Acha kujisahaulisha kwa mwendazake mbona ilishawahi tokea Mara nyingi tu, na yeye kiti kilimshinda!?
Huwezi kuhalalisha makosa kwa sababu mwingine alikosea. Mama anatakiwa aongeze umakini kwenye mambo yake yote, ili aendelee kuonekana bora kuliko mtangulizi wake.
 
Kwanza kitendo tu cha kutoa uhuru wa watu kumkosoa pekee yake,ni jambo la kushukuru bila ya uhuru huo watu wangethubutu kumlaumu?

Magu Kwani watu walikua hawamkosoi? Tulikua tunauliwa Lakini vichambo anavipata vzur, unadhan kuna mtu anaweza kuzuia kuongelewa vibaya? Yesu mwenyewe alichambwa na kuuliwa
 
Samia hamna kitu 2025 akajipake hina tu, pamoja na kuchukua muda wote huo bado anafanya makosa tu, sijawahi ona hii kitu kabla.
nacheka sana mnavyojipa hope 2025. mna ubav wa kuiondoa ccm nyie?
 
Ukishakuwa Kiongozi, huna budi kuwa smart na mambo yako, na pia kuongeza umakini kwenye kila jambo unalo lifanya!

Kurudia makosa yale yale mara kwa mara, siyo dalili nzuri kwa kiongozi bora.

Una maneno matamu sana
 
Huwezi kuhalalisha makosa kwa sababu mwingine alikosea. Mama anatakiwa aongeze umakini kwenye mambo yake yote, ili aendelee kuonekana bora kuliko mtangulizi wake.
kwa hiyo aliefanya makosa similar na haya hana shida. akifanya mama ni tatizo?
is this how you think?
 
Huwezi kuhalalisha makosa kwa sababu mwingine alikosea. Mama anatakiwa aongeze umakini kwenye mambo yake yote, ili aendelee kuonekana bora kuliko mtangulizi wake.

Kuwa na raisi anayeongozwa na watu wengine ni kazi sana, sio mbaya raisi kuwa na washauri, ila ni lazima raisi awe na maamuzi binafsi kama kiongozi, sio kuyumbishwa tu hovyo , raisi anatupa sana hofu wananchi, hayuko stable kabisa , we don’t feel safe at all, rip magufuli
 
kwa hiyo aliefanya makosa similar na haya hana shida. akifanya mama ni tatizo?
is this how you think?
Nyinyi watu wa ccm mbona ni wazito sana kwenye kuelewa! Ninachosema ni hiki, huyu Mama anatakiwa awe smart kwenye mambo yake!

Ajiepushe kufanya vitu/maamuzi kwa kukurupuka na mihemko, ili kujitofautisha kabisa na mtangulizi wake ambaye ilifikia wakati baadhi ya wananchi nikiwemo mimi, tulimchukulia kama kituko vile kwenye baadhi ya maamuzi yake!
 
To me, that magu was the worst president ever! Hivyo nisingependa na huyu Mama afananishwe naye!

Napenda aendelee kufanya mambo yake katika ubora mkubwa, na kujiepusha na makosa madogo madogo kama haya.

Hata mimi niliwaza hivyo, wengi walimuona magu kichaa na mwendawazimu, we don’t expect that too kwa mama yetu ambaye anaonekana mkarimu, mpole na mcha Mungu na mpenda haki, But according to how things go up to now, magu wasn’t a mad man as we thought, we can clearly see a huge gap , magu alitufundisha kumjua kiongozi bora na bora kiongozi , sasa hivi tuko na bora kiongozi
 
DPP hawezi kuingiliwa na mtu yeyote, hata Jaji Mkuu hana mamlaka ya kuingilia kazi yake"
giphy (2).gif
 
Kwani wewe hujawahi kosea?

Ndio maana sio kila mtu anaweza kuwa kiongozi, viongozi ni watu wa kipekee mno , ambao wako makini zaidi ya kila kitu wanachokifanya. Ukishindwa kufikia hiko kiwango cha umakini wa hali ya juu, Hapo ndipo watu wanaanza kutilia Shaka uongozi wako... kiongozi ukiwa na Tabia ya kukosea kosea kila siku , uongozi wako lazima utiliwe mashaka
 
Mlioteuliwa kapigeni kazi huku mkijua, nyinyi sio special mno, Ni mkono wa Mungu tu, katendeni haki
Kabisa mkuu! Utashangaa watakua na mwenendo Kama wa liSAa-liBAYA wasivyojielewa!
 
Back
Top Bottom