guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
kazi iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Seniority imeua sana our economy. Business as usual. We need visionary leaders and managers irrespective of sex, religion, age, and "utumbili" wao.hili dai limhusu. Mwendazake tuu!? Hao independently versionar wangepata wapi hiyo freedom of exercise ,sana sana kwa mama sasa ndio wakati wakuwatumia seniors experiences versionar na junior wasimamie utekelezaji ,Au nasema uongo ndugu zangu !?
Kwani ccm watashinda tena jimbo lolote tena 2025 lililo mjini?Amehofia huyo Kafulila angeirudisha Chadema madarakani kwenye uchaguzi mkuu ujao, au!!
Kwa hali hii, Katiba Mpya haikwepeki! Yaani unamteua mtu leo, kesho unamtengua/kumhamisha juu kwa ju, na hakuna wa kukuhoji!!
Only in Tanzania!!
Hapana mkuu, mama na Magu ni watu tofauti, kwani we huoni kelele hizi zinzopigwa humu ili kupinga mama wasifanane kwa lolote na Magu?Mkuu ile kitu haichagui, maana mateso ni kwetu sote.
Gharama za business na maisha zinabadilika sana hali ya umeme ikiwa tete mkuu.
Hili la umeme naomba maza akopi kwa Magu aisee.
Tulizoezwa vibaya si kila shughuli lazima kiongozi ahutubie halafu praise team wafanye ufafanuziKwenu wadau wa jf.leo rais wa SSH amewapisha wakuu wapya wa mikoa pamoja na viongozi wengine .Kama ilivyo ada viongozi wakuu walio udhulia walipata nafasi ya kutuma salam kwa viongozi hao,Mbele ya mh Wetu mpenda Mama Samia Suruhu alie beba matumaini yetu makubwa .Hivo taifa leo lili tegemea Rais atasema jambo lolote(tunavutiwa na kauli za rais kama jana alipo kitaka jeshi la polisi usalama barabarani kuacha kubambikia makosa) la kimatumaini hasa kwetu sisi wananchi ,mbele ya viongozi hao wapya,Shahuku ilikua ni kubwa sana leo kwetu wananchi kumsikiliza Mh wetu lakini gafla shauku io iliondoka.
Tunaimani na mama ..
kazi iendelee mama sisi hatutachoka na hotuba zako.
Habari za wapi Yakheee!!! Kikwajuni, kibanda maiti au mchamba wimaaa!!! Rais wenu tuliye waazimisha kutoka Bara, anaendeleaje Yakheee?
Kama aliona mongela ana uzoefu,amemuhamisha kutoka mwanza wa nini? Angembakisha huku huku mwanza.Sijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu).
Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Mwenye CV ya SSH tafadhaliSijafurahia reason ya kubadilisha wakuu wa mikoa. Mongela anapelekwa Arusha kwa sababu ni "mzoefu" na majiji na Kafulila ni mpya. This is not a reason for sure kwa sababu yule David, although ni "mpya" ni mbunifu sana kuliko Mongela (kwa mtazamo wangu).
Kama kweli hayo ndiyo majukumu ya mkuu wa mkoa as per VP Phillip, wakuu wa mikoa wanaoweza kufanya kazi hiyo popote pale ni Kafulila, Mtaka, and Queen.
Hapana mkuu, mama na Magu ni watu tofauti, kwani we huoni kelele hizi zinzopigwa humu ili kupinga mama wasifanane kwa lolote na Magu?
Na Mungu na sisi wananchi pia tumeridhikaUmebarikiwa na nani?
Tatizo mnataka mama acopy na kupaste kwa Magu. Ni kitu hakiwezekani. Hii ni awamu yake anatakiwa aongoze anavyoona yeye. Likiharibika jambo ni yeye ndo atasemwa na sio Hayati. Kama Kuna mahali makosa yalifanyika mama afanye masahihisho mapema. Na watu wakubali KILA nafsi itaonja mauti. Magufuli amefariki na hatarudi tena. Alifariki Nyerere na tukasonga mbele, hata hii ya Magu tutasonga mbele. Mama amronesha dira nzuri na wananchi huku nje wanamuunga mkono sanaHata mimi natamani tu mama awe mkali, awe na misimamo yake kama kiongozi, unajua mpaka sasa hivi hatumuelewi Mama ni mtu wa aina gani, ni kama anajificha hivi makucha, juzi alisema yeye na magu ni kitu kimoja, ila matendo yake ni vitu viwili tofauti, Mama haeleweki, mama haaminiki... magu was very strict man , alikua hapindishi maneno wala kuyumba hovyo, akisema amesema, au kwa kuwa mama ni jinsia nyingine Ndio maana she is so kind? Sitaki kuamini hivyo
Katiba mpya italishughulikiaje hilo? Tufafanulie - maana katiba mpya inaongelewa kana kwamba ina miujiza!Amehofia huyo Kafulila angeirudisha Chadema madarakani kwenye uchaguzi mkuu ujao, au!
Kwa hali hii, Katiba Mpya haikwepeki! Yaani unamteua mtu leo, kesho unamtengua/kumhamisha juu kwa ju, na hakuna wa kukuhoji!!
Only in Tanzania!!
Katiba Mpya itapunguza mamlaka ya Rais katika uteuzi kwa kuhusisha pia mamlaka nyingine kama Bunge na Mahakama!Katiba mpya italishughulikiaje hilo? Tufafanulie - maana katiba mpya inaongelewa kana kwamba ina miujiza!