Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile


Umeongea vyema. Huyu jamaa ni mjinga sana, kwasababu anafanya generalizations za kipuuzi kabisa bila kujenga hata hoja moja tu ku justify anachoongea.

Tukirudi kwenye facts Kifo cha Magufuli watu waliomboleza mpaka nje ya Nchi. Mbali ya kifo cha Nyerere, Hakuna tukio la kitaifa lolote lililotuleta pamoja kwa wingi mkubwa kabisa kama Kifo cha Magufuli.

Watu walijazana mabarabarani katika mikoa yote kote mwili ulikoenda. Kilichotokea pale Uwanja wa Taifa ni historical. Kama walichoonyesha watu dhidi ya Magufuli baada ya kifo chake sio mapenzi ni nini basi?

Tuache unafiki wa kijinga.

Samia ana represent the Elite class katika Siasa, Uchumi na Biashara hapa nchini. Hawa hawakuwa marafiki wa Magufuli, na hawakumpenda. Na Magufuli hakuwapenda kwasababu kwa asili mabepari ni wanyonyaji.
 
Sina muda wa kuongelea mizimu
 
Mhmm....fikiria upya
 
Hakuna aliyesikitika magufuli kufa labda wajinga bendera gusta upepo na vibaraka wake wa kuua na kutesa
 
Bora hata wewe unamsema akiwa hai na ana uwezo wa kukujibu.
 
"Mama abakie madarakani ili tuendelee kulamba Asali"[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wanaonufaika kwa sasa ni wale waliopo kwenye circle ya awamu ya nne.
 
KWA katiba Ipi we kiazi? Tuliwaambia tuandike katiba mpya hamtaki
 
Mbona Kangi Lugola alipomuita mwendazake sawa na Yesau haukuja hapa kupiga hizi porojo zako? Acha chuki binafsi utakufa na kihoro aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…