Vato
JF-Expert Member
- Feb 15, 2009
- 249
- 139
Kwa hoja zipi? Mie nimetoa mfano wa maziko yake hata mie sikutegemea kuwepo ummati ule yani watu waache kazi zao na kwenda kusimama barabarani na viwanjani halafu useme wale wanamchukia kama wewe mkuu?
Elewa kwamba sio kila mtu alikuwa anaugua kwa kumchukia Jiwe kama mlivyo wengine kiasi hadi cha kujikosesha amani ya moyo.
Umeongea vyema. Huyu jamaa ni mjinga sana, kwasababu anafanya generalizations za kipuuzi kabisa bila kujenga hata hoja moja tu ku justify anachoongea.
Tukirudi kwenye facts Kifo cha Magufuli watu waliomboleza mpaka nje ya Nchi. Mbali ya kifo cha Nyerere, Hakuna tukio la kitaifa lolote lililotuleta pamoja kwa wingi mkubwa kabisa kama Kifo cha Magufuli.
Watu walijazana mabarabarani katika mikoa yote kote mwili ulikoenda. Kilichotokea pale Uwanja wa Taifa ni historical. Kama walichoonyesha watu dhidi ya Magufuli baada ya kifo chake sio mapenzi ni nini basi?
Tuache unafiki wa kijinga.
Samia ana represent the Elite class katika Siasa, Uchumi na Biashara hapa nchini. Hawa hawakuwa marafiki wa Magufuli, na hawakumpenda. Na Magufuli hakuwapenda kwasababu kwa asili mabepari ni wanyonyaji.