Wasukuma wote hawapo hivyo. Jiheshimu.Hii nchi kupewa Msukuma au mwenye vinasaba vya huyo bedui anayeungua sasa hivi huko Jehanum msahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasukuma wote hawapo hivyo. Jiheshimu.Hii nchi kupewa Msukuma au mwenye vinasaba vya huyo bedui anayeungua sasa hivi huko Jehanum msahau
Wacha tuujue udhaifu wa jiwe kama mbwai wacha iwe mbwaaiiiiMama anachemka sana, anaropoka ropoka tu. Hivi kweli Mwafrika yupi mwenye nidhamu ya kutoka moyoni kama siyo uoga? Kazi ya sheria ni ipi kama siyo kuwafanya watu waogope kutenda makosa wakijua sheria itawahukumu? Tumepata Rais boya kabisa na asubiri hiyo nidhamu ya kutoka moyoni ya watumishi wa umma kama ataiona
Jamaa yenu kawachafua sanaWasukuma wote hawapo hivyo. Jiheshimu.
Hakika Mungu hamfichi mnafikiAt the end of the day, huyu mama alikuwa anafanya kazi na Meko so anajua kila kitu kuhusu ukweli wa mambo yalivyokuwa, soon tutajua aliyewaua akina Azory na Ben Saanane.
Mama hataki kubeba dhambi za mtu, kila mtu auchukue mzigo wake mwenyewe na atoe habari zake mwenyewe mbele za Mungu.
Ila Meko alijua kuwafool wajinga wajinga yani dah , he was such a jerk.
Kwa nini hamtaki kusikia ukweli??Kwa kweli tukisema muacheni Mh Hayati Magufuli apumzike mahali aliko tunashambuliwa eti sisi ni sukuma geg! Jaman marehemu kwa heshima za Afrika huwa tunamwacha apumzike aliko kuliko kumsemea vibaya vibaya.
Leo nimesikia Mh Raisi akisema utawala wa awamu ya Tano ulitengeneza nidhamu ya uwoga kwa watumishi, kwa sababu ulikuwa ni Simba, alikuwa ukizingua anakungata ngwadu!
Sasa kwa Nini ustekeleze unavyotaka. Paspo kumsem mwenda zake?
Kama ile ilikuwa nidhamu ya uoga kwa sababu ya simba wa yuda basi tutamkumbuka sana tena sana. Yeye anayetaka nidhamu ya moyoni atuonyeshe achievements...
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Sawa bossKama ile ilikuwa nidhamu ya uoga kwa sababu ya simba wa yuda basi tutamkumbuka sana tena sana. Yeye anayetaka nidhamu ya moyoni atuonyeshe achievements...
Nakubali the end justifies the means.
Akituletea nidhamu kubwa zaidi with different approach she will be my hero
Hakika Mkuu kama kumchafua mzee wameshamchafua sana,hakuna jipya tena ni mipasho inaendeleaSikupingi,hakuna mwanadam mkamilifu,pamoja na kuwa na mabaya yake bwana yule ila amekua na mazuri pia hilo siwezi kulisahau....japo wanadam tunasahau mazuri 100 kwa baya moja...
Wengi wanaomchukia bwana yule,ni wale waliozibiwa mianya yao ya janjajanja.
Nidhamu ya woga afadhali kuliko uhuru wa kuiba.
Hajui maana ya uongozi alio nao, hataki kumsimamia mtu yeyote ila anataka kila kitu kiende vizuri. Kuongoza bila kusimamia ni kuweka maji kwenye dema. Kikwete aliongoza bila kusimamia wakati Magufuli aliongoza kwa kusimamia: tufauti zinajulikana. Hakuna binadamu aliye malaika kiasi kuwa ukimteua tu basi atatekeleza mambo yote perfectly, lazima asimamiwe.
"Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma.
“Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe ya moyoni, kila mmoja aheshimu mstari wa mwenzie, hicho ndicho tunachokosa Serikalini.
“Kila siku unasikia Waziri kakwaruzana na Katibu…upande wetu tunaenda kuimarisha Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma
---
Hakika kila chenye mwanzo lazima kiwe na mwisho.
Kumbe zile sifa za ooo nchi imerudisha heshima kwenye sehemu za kazi ilikuwa ni nidhamu ya uoga tu.
Magufuli alikuwa anawatishia watu na wakawa wanaonyesha heshima ya uoga.
Kwani mtangulizi wake hakuwa anabadili na kutumbua kila kukicha?Kwa hii Kauli Yake basi Kila kwezi Atakuwa Anabadiri Mawaziri hadi waishe sasa.
Tanzania Sijui Lini tutakuja Kupata mkuu wa Nchi mwenye akili.
Ina maana hivi vyuo kabla ya awamu hii vilikuwa vinafundisha madudu gani?Chuo cha Utumishi na Chuo cha Uongozi ili kufundisha watu majukumu ya utumishi wa umma, lakini Baraza la Maadili likisimama kwenye sheria na kurekebisha maadili ya watenda kazi wa Tanzania, tutaenda vizuri,"- Rais Samia Suluhu akiwaapisha viongozi watule leo Aprili 2, 2022, Chamwino Ikulu, Dodoma